Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Habari kama hile ni ya kijinga kiasi kwamba watu kupoteza muda kuikanusha ni upotevu wa rasilimali..habari imejaa uongo mtupu kinacho takiwa ni lile gazeti kupigwa ban tuu..

Utajuaje kuwa ni habari ya kijinga?
Silence means Yes.Habari imeandikwa sie pamoja na Mengi tunaamini ni ya Kweli,itakuwa ya uongo pale tu wahusika watakapokanusha,au kulitaka gazeti lithibitishe pasiposhaka
 
Habari kama hile ni ya kijinga kiasi kwamba watu kupoteza muda kuikanusha ni upotevu wa rasilimali..habari imejaa uongo mtupu kinacho takiwa ni lile gazeti kupigwa ban tuu..
Kama TAARIFA nyingine ambazo kama ni kukanusha-Mtu atakuwa anakanusha kila siku na kushindwa kufanya mambo ya msingi.Fikiria kama Zitto akianza kukanusha amma kukubali kila kitu wakati huu,ATALOOSE FOCUS na hiyo ndio itakuwa KAZI SASA!Kukanusha!
 
Huu ushirikiano Mpya kati ya Rugemarila (Mtuhumiwa wa Escrow)na Mmiliki wa Mwana Halisi Forum na Mwandishi wa gazeti la Mawio si Salama kwa Rasilimali za nchi.

Katika kuhangaika Mzee Mengi,amemtuhumu Zitto Kabwe kuwa ndiye kampelekea Rais Kikwete taarifa juu ya Mengi Kumshighulikia pindi atakapo staafu.Lengo la habari hii ni mwendelezo wa visasi na vita ya kuhakikisha Zitto anapotea hatimae kufifiza harakati za ACT-wazalendo.

Kwamujibu wa Mengi, Chanzo cha habari hizo ni Gazeti Jipya la 'Taifa Imara' lililoanzishwa Kimkakati.

Gazeti la Taifa Imara lenyewe mnajua linamilikiwa na nani?

Gazeti la Taifa Imara ni Mali ya Rugemalila ambae ni Miongoni mwa watuhumiwa wa Ufisadi wa Escrow waliowaponza Tibaijuka na Werema .

Sasa mtu huyu huyu alianikwa tena hivi karibuni kwenye ziara ya ACT-Wazalendo kuwa kapewa tenda ya Tril 54 kujenga Bandari ya Mwambani corridor kinyemela bila Zabuni hiyo kufuata taratibu za manunuzi.

Rugemalila na genge lake la mafisadi wanaofukarisha taifa hili kila kukicha wanaendelea kutafuta target ya kumsambaratisha Zitto ili waendelee kuliibia taifa bila kukemewa.

Halafu habari yenyewe,Chanzo chake eti ni Mwana Halisi forums.

Yaani Mwana Halisi inayomilikiwa na viongozi wa Chadema (Kubenea) wanaweza kuwa chanzo cha habari ya kuaminika na ikawa njema kwa Zitto?

Hizi ni tuhuma za kutunga,na ndio maana mara kadhaa tumetahadharisha kuwa huu ushirikiano kati ya baadhi ya viongozi wa Chadema na watu wachafu kama Rugemalila unapaswa kutiliwa mashaka hasa na wazalendo wa mchi hii.

Haya si mahusiano yenye Afya na kamwe hatuwezi kuendelea kuwachekea na kuwaunga mkono.

Vita dhidi ya Ufisadi imemfanya Zitto kupata maadui wengi, Sasa Rugemarila na Kubenea wanashirikiana kupambana na Zitto.

Gazeti la Mawio kila wakiamka hawana habari yoyote zaidi ya Zitto na ACT-Wazalendo.

Kubenea na Anthon Komu wameona nguvu ya kumdhibiti Zitto haitoshi,wameamua kufanya Collaboration na Rugemarila kupambana na Zitto.

Wametunga habari ili kutaka msaada wa Reginald Mengi kwenye hii vita.

Na Mengi bila kufuatilia mmiliki wa Gazeti na Chanzo cha habari (Source) ameamini kichoandikwa.

Tunachoweza kufanya wanyonge wa nchi hii ni kugomea kununua Magazeti yanayoshirikiana na Mafisadi kudhoofisha vita dhidi ya Ufisadi.

Tusinunue gazeti la Mawio,na Taifa imara kutokana na kusaliti Vita dhidi ya Wizi.

Wanyonge bado tunasafari ndefu na tusipoungana aki na Rugemarila watatumaliza na wataendelea kutukejeli kuwa Mil 25 ni pesa za Chai.

Mpuuzi kweli we we, unataka tuununue maagazeti ya kufungia vitumbua UHURU,jambo Leo na Mzalendo?
 
Ninatarajia kuwa wewe ni msomi na mwenye uwezo wa kufanya analysis na siyo wale bendera fuata upepo.
Umemwita bw Rugemalila fisadi kwa ufisadi gani? Hivi suala la escrow umelisoma vizuri kama msomi bila kuingiza chembe za siasa? Naona wanasiasa kwa sababu zao wamekuwa wakipotosha sana suala hili na hadi baadhi ya wasomi wamekua kama chiriku kurudia yaleyale bila ya kufanya tathmini. Poleni sana
 
kati ya wandishi wasio makini na ambao habari zao hazinatofauti na udaku ni zinazoandikwa na kubeenea, ndo maana hata mtandao wake umekosa wanachama na asipobadilika ataliua gazet la mawio. jaribun kuiga magazet makin km raia mwema
 
Ndio Maana naona huu muswwda wa wa mitandaoni RAIS ameuchelewesha mno kutia sain ili tuheshimiane. Halafu mnyika jana eti anaupinga. Wakati vyombo vya habari vinatumika vibaya na kusambaza chuki kwa raia
 
habari yenyewe ni yakidaku daku tu! nimeisoma haina kichwa wala miguu,Mengi acha kilialia,Raisi ni jalala haiwezekani kila kitu kukanusha,magazeti na majarida yapo zaidi ya 160.
 
Ninatarajia kuwa wewe ni msomi na mwenye uwezo wa kufanya analysis na siyo wale bendera fuata upepo.
Umemwita bw Rugemalila fisadi kwa ufisadi gani? Hivi suala la escrow umelisoma vizuri kama msomi bila kuingiza chembe za siasa? Naona wanasiasa kwa sababu zao wamekuwa wakipotosha sana suala hili na hadi baadhi ya wasomi wamekua kama chiriku kurudia yaleyale bila ya kufanya tathmini. Poleni sana

Mjinga NA kichaa ndio anaweza kukubaliana na huo uozo wa escrow. Wew kama huwezkuona ufisadi wa Ruge we Ni wa kuhurumiwa u nahitaji maombi
 
RUGEMARILA wa Escrow na CHADEMA Wame-Team Up na CHADEMA Kumshambulia Zitto kupitia Gazeti la TAIFA KWANZA(La RUGEMARILA), Mwana Halisi Online, Mawio na Tanzania Daima.

Why? "They now SHARE the SAME Enemy" - Zitto.

> Wanasiasa wetu wote wana siasa ya kijinga sana ili uwe mwanasiasa kanjanja unatakiwa kuwa mtu wa fitina, unafiki, uwatumikie mabwenyenye na wala rushwa, mfumo wetu wa siasa bado ni uongo na ubaladhuli mkubwa hapa hakuna msafi wote wala rushwa na waongo wakubwa.
 
kati ya wandishi wasio makini na ambao habari zao hazinatofauti na udaku ni zinazoandikwa na kubeenea, ndo maana hata mtandao wake umekosa wanachama na asipobadilika ataliua gazet la mawio. jaribun kuiga magazet makin km raia mwema

mimi ndo sisomi kabisa MAWIO yan afadhali usome TANZANIA DAIMA la MBOWE.kwa mujibu wa MAWIO viongozi wa CDM ni MALAIKA hawakosei na Serikali haijafanya chochote kizuri.yan kama GAZETI la UHURU wapinzani wote wabaya nalo silisomi.
 
Kutokana na taarifa zilizoandikwa na gazeti la 'TAIFA IMARA' linalomilikiwa na James Rugemalira, tuhuma dhidi ya Dr. Reginald Mengi alizozielekeza kwa Zitto Kabwe.

Mwami ZITTO KABWE atajibu kupitia mkutano wa Shinyanga utakaofanyika leo.

ZITTO ni mbeya tu na anatumika vibaya.
 
Kutokana na taarifa zilizoandikwa na gazeti la 'TAIFA IMARA' linalomilikiwa na James Rugemalira, tuhuma dhidi ya Dr. Reginald Mengi alizozielekeza kwa Zitto Kabwe.

Mwami ZITTO KABWE atajibu kupitia mkutano wa Shinyanga utakaofanyika leo.

Zitto ni mtoto sio ridhiki
 
mimi ndo sisomi kabisa MAWIO yan afadhali usome TANZANIA DAIMA la MBOWE.kwa mujibu wa MAWIO viongozi wa CDM ni MALAIKA hawakosei na Serikali haijafanya chochote kizuri.yan kama GAZETI la UHURU wapinzani wote wabaya nalo silisomi.

mkuu umeongea vzr sana hivi ndivyo great thinker wanatakiwa kuwa.
 
Mengi mwenyewe anajua kuwa habari ile ni ya uongo sema anataka kuendelea kukuza jina tu,anatoa mifano ya akina malkia wa uingereza miaka ya elfu moja huko wakati kipindi hicho hakukuwa na uhuru wa kutoa maoni analinganisha na sasa. Kama kweli rais amepanga kummalza kwani angekuwa hai hadi leo? Hizo ni siasa taka tu.
 
Ndio Maana naona huu muswwda wa wa mitandaoni RAIS ameuchelewesha mno kutia sain ili tuheshimiane. Halafu mnyika jana eti anaupinga. Wakati vyombo vya habari vinatumika vibaya na kusambaza chuki kwa raia
Umeandika kitu cha msingi,Mnyika siku hizi amekua MTU wa hovyo
 
Back
Top Bottom