Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Kumbe una access rahisi ya magogoni ee?

kwa Zitto kuingia magogoni Luthuli Street ni sawa na Yericko Nyerere kupanda mv Magogoni kwenda Kigamboni

Dr. Slaa (great seer) aliliona mapema na kumtenga, a benefit of doubt that has paid though njia aliyotumia ni Pay Back Period, next time atumie Net Present Value (NPV)
 
wacha move iendeleee, nakweli akalishtaki hilo gazeti asipotezee kama yale mabilioni ya uswis, najua hata gazeti limejipanga... asitishie nyau! Ukweli utajulikana, lakini haipendezi sana katika maisha kuhusishwa husishwa sana katika mambo mabaya, kwani nini iwe ni wewe kila mara??
 
Je ni Kweli likutana na Rais muda mfupi baada ya kuwasilisha report yake?
 
Ngoja aje Mzee wa Mawio akujibu hapa..time will tell maji yatatengana na mafuta
 
Nachukia, yaani hizi habari za uongo uongo, wote waongo tu hata wewe zito mwongo tu
 
Hapa naona mtu aliyepeleka ule uongo akili yake hata kwenye maigizo kutunga script haifai
 
peleka mahakani hawa akina kubenea na machizi wenzake
 
That means case closed. Kama mzizi wa story yote ni Zitto, naye kakanusha, the whole things falls apart. Mengi amuombe radhi Rais. WM
 
Bado unathibitisha jinsi ulivyo mshamba na kiwango chako cha ufahamu kipo chini sana. Zitto hawezi jibu mtu hata kama ni mpinzani wake kwa lugha hii ya matusi na dharau. Ndio maana upo chini sana kwa Zitto.pole sana!


Hivi ndivyo mnataka tuwajibu!!!

Zitto ninaweza kuwa chini yake kwa mtazamo wako wewe wala sikukatazi!!!

Ila ukumbuke Mimi sijakulia kwenye jamii inayokunya vichakani utambue hilo.....
 
ni vizuri tukawa na akiba ya maneno wadau, wakina kubenea kama kweli wanahusika si wajinga kiasi hicho tunachotaka kuamini, lakini usitegemee zitto akubari jambo kma hilo hata kama ni kweli ametenda
 
Episode ijayo ni kwa Kubenea kuanza kuanzisha rasmi sasa gazeti la udaku ijulikane moja.

Maana kwa muda mrefu sana Bwana Kubenea anaendesha gazeti la udaku bila utambulisho rasmi kama wenzake akina Shigongo walivyofanya.

Mkuu Kapwela, unapwelepeta sana kwenye hoja! IPSOS si wapuuzi kumpa zawadi ya kwanza kuwa mwandishi wa habari za kipelelezi

kwako wewe ni kuku wa kizungu mwenye dumu la petrol kwa Ku.be.ne.a
 
Last edited by a moderator:
wacha move iendeleee, nakweli akalishtaki hilo gazeti asipotezee kama yale mabilioni ya uswis, najua hata gazeti limejipanga... asitishie nyau! Ukweli utajulikana, lakini haipendezi sana katika maisha kuhusishwa husishwa sana katika mambo mabaya, kwani nini iwe ni wewe kila mara??

Hujui kwanin Zitto?kwa sababu ni tishio kwa watu wengi kisiasa na ana potential ya kufika mbali na ndio maana watu wengi wanamtafuta ili wamuue kisiasa, ilianzia toka ndani ya Chadema na haitakuwa mwisho.

Wahenga walisema "MTI MWENYE MATUNDA NDIO UNAOTUPIWA MAWE.
 
Zito haufa katika nchi, umekua mlevi katika nchi, unalewalewa na kugwayagwaya, nani aliekurogaaaaaaaaaaa
 
wacha move iendeleee, nakweli akalishtaki hilo gazeti asipotezee kama yale mabilioni ya uswis, najua hata gazeti limejipanga... asitishie nyau! Ukweli utajulikana, lakini haipendezi sana katika maisha kuhusishwa husishwa sana katika mambo mabaya, kwani nini iwe ni wewe kila mara??

mawio mliki wake unamjuwa wewe? saidi kubenea unamjua wewe? mbowe unamjuwa wewe? cdm unaijua wewe? acha waendelee na fitina zao za kitoto
 
Back
Top Bottom