Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi

Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama

Alazwe mahala pema peponi
Tangulia Kamanda, kazi yako umemaliza salama
 
Namjua sana jamaa ni mtu poa sana ila kwakuwa haturuhusiwi ku share picha hapa basi ila jamaa alikuwa peace sana zaidi ya sana
Bahati mbaya sisi wengine hatumfahamu, nje ya hapa utambulisho wake unaojulikana ni Nani, kuna mmoja hapo amesema alikuwa mwenyekiti CHAVITA kahama, nikajiribu kutafuta sjafanikiwa
 
Namjua sana jamaa ni mtu poa sana ila kwakuwa haturuhusiwi ku share picha hapa basi ila jamaa alikuwa peace sana zaidi ya sana
Sana yaan zaidi ya sana pia alikuwa na mawazo chanya kwenye utafutaji wa pesa,amefanya mambo mengi ikiwemo ufundi wa simu,ufugaji wa samaki,operator wa mitambo viwandani hadi akapata ukiziwi,ameendesha vichwa vya treni kwa mkataba wa muda mfupi hapo hapo alishakuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi kwa kahama inshort huyu jamaa alikuwa mtu na nusu asee🙌
 
Back
Top Bottom