Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi

Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama

Alazwe mahala pema peponi
Apumzike kwa Amani!
 
Back
Top Bottom