peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 17,104
- 28,920
Mkeo na watoto nao watakuwa hawajui?Sio kweli,kwani nini kimemkuta? Sasa si nitakuwa sijui?
Hakuna aibu kubwa na mbaya kama kufa ukazomewa!
Mkeo na watoto nao watakuwa hawajui?Sio kweli,kwani nini kimemkuta? Sasa si nitakuwa sijui?
Hata pale Lumumba hakuna anayekujua?Mimi nikifa sijui nani atatoa taarifa yangu maana Sina hakika kama Kuna rafiki au Jamaa ananijua
Sasa nani atanizomea na siishi na nyie pimbi wa if? 😂😂Mkeo na watoto nao watakuwa hawajui?
Hakuna aibu kubwa na mbaya kama kufa ukazomewa!
Mimi sio mwana CCM sijulikani Lumumba,mtaani Wala kizimkaziHata pale Lumumba hakuna anayekujua?
Hata Saa100 aliamini kama wewe!Sasa nani atanizomea na siishi na nyie pimbi wa if? 😂😂
Kwani nani kazomewa? Mbona sijaona?
Mbona sijaona akizomewa au nyie Chadomo ndio mnajifariji Kwa ujinga wenu?Hata Saa100 aliamini kama wewe!
Sasa tunawasubiri kuwazomea wafuatao na familia zao zijiandae:-
1. Saa100
2. Wassira
3. JK
🤝🤝🤝Nakupenda sana Christine_1
R.I.P SlaveKwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi
Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama
Alazwe mahala pema peponi