Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi
Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama
Alazwe mahala pema peponi
Wewe,itakuwa ile biashara ya saa100 yaliyomkuta huko Kizimkazi!Mimi nikifa sijui nani atatoa taarifa yangu maana Sina hakika kama Kuna rafiki au Jamaa ananijua
Apumzike kwa amani. Mema yake yakawe kumbukumbu kwetu soteKwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi
Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama
Alazwe mahala pema peponi
Nakupenda sana Christine_1Duh
Last seen tar 1/08/2026🙌juzi tu
Tupendane jmn
Sio kweli,kwani nini kimemkuta? Sasa si nitakuwa sijui?Wewe,itakuwa ile biashara ya saa100 yaliyomkuta huko Kizimkazi!
Tutakuzomea hadi ufe mara ya pili!