Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

Msiba umegusa wengi kuanzia Dodoma Arusha manyara singida tabora shinyanga dah si kuwahi kujua km anaweza kuwa ni member humu ndani
Sana kaka ni majonzi kwa wengi,Mimi nimejitolea kutoa hii taarifa kwa sababu kipindi Fulani tukiwa kwenye story za hapa na pale ndo nikamwambia kama nipo JF akanambia na yeye yupo na akanionesha hii ID yake,akanambia amepiga sana hela JF kipindi inaanzishwa hasa kwenye haya mambo ya technology,kuflash simu n.k
 
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi

Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama

Alazwe mahala pema peponi
Pole kwa familia# Mungu awape faraja familia
 
Screenshot_20260911_053317.jpg
 
RIP kwake aiseee ila Kwa sisi wenye ID za makandokando full kukwepana na wakina tilatila na mwashambwa pale lumumba sijui tukifa nani atatoa taarifa humu ili Id zetu ziwekewe badge ya RIP daaaah
Ukiona unakaribia kufa unajiweka wazi kwa member mmojawapo ili afikishe ujumbe. Mtumie sana Mshana Jr hutajuta
 
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi

Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama

Alazwe mahala pema peponi
Daaah!! May his soul rest in peace 🕊️
 
Back
Top Bottom