Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Asee we acha tu, ila sio vizur kuangalia upande wa wanaobolonga tu....jaribu kuangalia na wanaofanikiwa ujifunze pia,

Ndoa tamu chief....mana unamiliki ile nanii kwa uhalali kabisa,

Ndoa tamu bhana

kikubwa mutuombee wahenga nasi tutoboe tule mema ya nchi 🙂
 
Kama huoni wa chaguo lako adi umefika umri huo basi jua hayupo na hatokuwepo.
Jitafakari mwenyewe kwanza...je unasifa za kuwa mume!!?

Ukipata jibu utapata mwenye vigezo vyako.

Usisahau kuleta feedback hapa....
Usimkatishe mwenzio tamaa mda na majira yake bado hayajatimia[emoji4] [emoji4]
 
Am 33yrs by September.. Zaman nilikiwa na amin nikiwa nahela nitaoa ila hela imenitembela 5yrs ago.. Nyumba nzuri, gar nzuri Biashara zinasoma.. Acc inasoma ila sasa Kupata mwenza imekuwa changamoto kubwa kuliko nilivyo kuwa nikifikira at age of 25, yaan mpaka nahis bora nizae na mtu tu nilee mtoto wangu siku ziende kuepusha mineno kwenye familia.. Wandugu Life is very complicated hasa kwenye kupata mwenza.

Post sent using JamiiForums mobile app
Mwanamke anayejitambua haangaliii kama una nyumba, gari au nn
Ndoa ni ni committment...unaishi na mtu maisha yako yote hvo vyote unavitafuta..
jitathimin una sifa za kua mume mwema unajali, unathamini una upendo wa kwelii? Au ndo wale wakorofiii
 
Mwanamke anayejitambua haangaliii kama una nyumba, gari au nn
Ndoa ni ni committment...unaishi na mtu maisha yako yote hvo vyote unavitafuta..
jitathimin una sifa za kua mume mwema unajali, unathamini una upendo wa kwelii? Au ndo wale wakorofiii
Jirani naona unatema Nondo [emoji3][emoji3]
 
unaolewa kup
stress zipo kote kaka ila wanaume wanajipa moyo kwa kua wanaweza wakapata mwanamke wa kumgonga hata kila siku akienda kona bar,au kwa wahaya

hiko ndo kinachowapa kibr wanaume
sisi wanawake tunasubiri tufatwe ndo tupunguze ashk zetu
Unaolewa kupunguza ashk au kujenga familia? mbona bila ndoa unaweza mpata wa kukupunguza ashk majnun
 
hapana kwa sababu niliolewa at 21 yrs old hata baada ya kufail ndoa yangu stress nyingi zinasabishwa na kukosa mtu wa kukufariji au kupunguza homornes mwilini ila nimeshawahi kupata tatizo baada ya kukaa muda mrefu bila kushiriki kujamiiana[emoji2] [emoji85]
😳😳😳 pole my dear Genivoros
 
p
kuchelewa kuanzisha familia kunakupaje stress sasa!!!![emoji2]
wakati umeamua ukae bila familia

stress zinaletwa kwa kukosa faraja ya kweli na kushindwa kupunguza hormones mwilini binadamu unakula vzr huna tatizo lolote unaweza kaa mwaka bila partner!?
unaweza pasha kiporo bila ndoa na hormonies ukazikamua kama kawa, shida ni kujenga familia bila ndoa
 
Stress za kuolewa/kuoa zinamkuta mtu yeyote, kutegemeana na ndoto au mipango yake. Maybe mtu amepanga kuwa nikifika age/stage fulani lazima niwe na A, B, C, so hiyo age/stage ikifika na hajakamilisha ndoto yake ndo mtu anaanza kuwa na stress. Au tu mtu anahitaji sana ndoa at the moment afu haoni mtu wa kufunga naye ndoa, ndo wengine desperation inapoanza bila kujali ni me/ke

Nafikiri kinachofanya wanawake tuwe desperate sana ni kale kamfumo kalikotuaminisha kuwa mwanamke hujakamilika bila ndoa . So pamoja na yote unayoyafanya/kuachieve as long as hujaolewa, jamii haitoacha kukuuliza maswali. So wengi wetu wanafall kuwa victims wa society, wanakuwa desperate sana kuolewa. Nilishawahi kukaa na binti, she was just 22 ila ni desperate kuliko shangazi yake hapa.

Kingine ni kwa vile tu wanawake tuna biological clock. Ukishafika age fulani fulani si salama sana kuzaa watoto. But at the very same time wapo wanaume ambao pia wanataka kuwa na familia mapema ili wazae mapema na walee watoto wao. Msemo wa kwamba mwanaume hata akiwa 50 anazaa ni kweli ila nafikiri wengi inawakuta tu kwa sababu fulani zilizo nje ya uwezo wao. Ila kwamba mwanaume anapanga kabisa kuwa nitazaa 1st born nikiwa 50 mmmmh. So wapo wanaume pia ikifika age fulani anaanza kuwa desperate as anaona muda unampita mkono na hana familia

Na ukweli ni kwamba tukakutana na wanaume desperate wengi tu. Kuna muda na sisi japo tunahitaji ndoa lakini udesperate wa mtu unakuogopesha hadi ndoa huitaki tena lol. Mtu mmekutana ndani ya mwezi anataka muanze process za ndoa, me hapana kwa kweli weee.

IMO, kuwa desperate ( na kitu chochote not necessarily ndoa) ni choice, ni sign ya kuwa "UNGRATEFUL". Unaconcentrate sana na usivyonavyo, unasahau kucount your blessings ndo maana unapanic. Maandiko yanasema "Bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo yote mtazidishiwa". So why are you stressing yaself ? Don't you believe in God's perfect time darlin?. Plus hakuna kitu kibaya kama kufanya maamuzi ya maisha yako ukiwa desperate. No wonder ndoa zetu nyingi ni za misukosuko, mtu hakuolewa/kuoa kwa sababu anajua ndoa ni nini na anajua ni nini wito wake katika ndoa, alifunga ndoa simply because muda umeenda or jamii inamnyooshea sana vidole au anataka azae watoto mapema. Decision yoyote ya maisha yako ifanyike muda ambao umerelax, while things are flowing naturally. Nikianza kuhesabu ambavyo sina kwenye maisha yangu, ni vingi mweeh but I chose to stick with my blessings, na huwezi kunikuta nina stress unless niwe naumwa (hahha Mungu nisamehe tu muda ninaoumwaga lol, Afya yangu, mtaji wangu). Weekend njema
Dada, ur a genius. Uko vizuri. Nakubaliana na kila herufi za kwenye sentensi zako. Mchango wangu kwenye hii thread ni ku-copy na ku-paste hii comment yako. [emoji106] [emoji106] [emoji106]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sometimes loneliness ni choice. Tena bora uwe alone afu lonely kuliko kuwa na familia afu ukawa lonely, uta- frustrate hadi wenzako. Furaha ya maisha sometimes hailetwi na idadi ya watu walio around wewe, ila quality ya mahusiano baina yako na hao watu. Naelewa umuhimu wa familia bora na sio bora familia coz kuna watu ili kutafuta hizo furaha inabidi wajitenge tu na familia zao. Cha msingi ni kuboresha mahusiano yetu, hata kama mpo wachache. Loneliness can be a choice, na pia kuwa fulfilled na maisha ni choice yako binafsi, otherwise even a family can't fulfill you. "Familia bora ni kila kitu"
Samahani, Dada wewe ni Counselor? Aisee uko vizuri. Shikamoo kwako.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Usimkatishe mwenzio tamaa mda na majira yake bado hayajatimia[emoji4] [emoji4]
Miaka 30+ muda na majira bado!!!!
Kama ni hivyo basi ni hatari sana
Maana miaka hyo ampate....wachunguzane sijui miaka mingap, kuja kuoa si ndo uzee ss.....eeeeh.
 
Miaka 30+ muda na majira bado!!!!
Kama ni hivyo basi ni hatari sana
Maana miaka hyo ampate....wachunguzane sijui miaka mingap, kuja kuoa si ndo uzee ss.....eeeeh.
Yah..ana 33 now akipata anae eleweka miez 6 or mwaka unatosha kumchunguza mtu
Tatizo wanaume wengi wazito kupiga magoti na kumwomba Mungu kilicho bora wanategemea tu akili zao
Wakat unaeza ishi na mtu ata nusu maisha lakin kuna tabia tu hutazijua so ni Kumshirikisha Mungu tu
 
Back
Top Bottom