Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Yaani nikikaa nakuangalia watu wanavyoborongo kwenye kuoa nabaki kuwaogopa wanawake mnoo, acha muhenga nibaki baki asee
Asee we acha tu, ila sio vizur kuangalia upande wa wanaobolonga tu....jaribu kuangalia na wanaofanikiwa ujifunze pia,

Ndoa tamu chief....mana unamiliki ile nanii kwa uhalali kabisa,

Ndoa tamu bhana
 
Kama huoni wa chaguo lako adi umefika umri huo basi jua hayupo na hatokuwepo.
Jitafakari mwenyewe kwanza...je unasifa za kuwa mume!!?

Ukipata jibu utapata mwenye vigezo vyako.

Usisahau kuleta feedback hapa....
Umeongea kitu cha muhimu ambacho wengi huwa tunajisahau kwacho, unatafuta a perfect wife/hubby wakati sisi wenyewe hatujakamilika.

And to men with money huwa wanahisi akishakuwa content with money basi ni lazima apate mwanake perfect just because ana pesa. Wanasahau kuwa hakuna mwanamke aliye perfect, na wanawake wale wenye vigezo vya wengi nao wanaangalia ni kitu gani extra huyo mwaaume anacho zaidi ya pesa zake. Hapo ndipo taabu inapoanzia.

Na mwanaume mwenye mind set ya aina hiyo huwa hawawi waume bora, maana ego yao ndio itakayokuwa inaendesha ndoa. Then comes "wanaume wangapi wenye pesa ndoa zao tafrani?" Money is something but not everything.
 
Khantwe, mfano wako upo sawa kabisa. Kuliko kuzunguka n bahasha miaka mitano, ni heri kuwa na sehemu ukajipatia kipato kidogo, utapunguza soli za viatu kuisha.

The thing is, hiyo ni plan B, baada ya plan A kushindwa, ndio unaona isiwe tabu ngoja niangalie upande huu unakuwa vipi.

Likewise, kama mtu anaona mda unapita, hakuna proposal yoyote ya "ajira" ni heri kujiajiri. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa bado mtu angependa kuajiriwa.
Umejibu vyema, unaamua kujiajiri baada ya kukosa ajira, au baada ya kuona ndani ya ajira kuna taabu nyingi zitakazokufanya usiweze kufikia malengo yako fulani fulani. Lakini bottom line is at first ukifikiria kuajiriwa au ulikuwa umeajiriwa.

Watu wengi huwa wanafikia maamuzi ya kutoitaka ndoa baada ya mambo fulani fulani kutokwenda sawa, lakini mwanzo walitamani kabisa ndoa.
Hata pale unapoaamua kuridhika na kile ulichonacho na sio kile usichokuwa nacho ukweli unabaki kuwa unatamani kuwa na hivyo usivyokuwa navyo.
 
Sky Eclat, my doctor.
Wewe unaonaje, japo sio kidume. Unadhani vidume nao hukumbwa na "desperate times"?
My dear tofauti ni kuwa wanawake sisi tuko open, tunaongea ukweli wa yale tunayopitia bila unafiki. Wanaume wana unafiki sana, unakuta mtu anaungua ndani ila anachoongea ni tofauti kabisa!!! Ukitaka kujua ukweli wao ongea na wale ulio karibu nao sana alafu wawe wanapitia wakati kama huo ndio wtakueleza ukweli.

Hivi ni nani hafurahii kuwa na famia mapema akiwa bado na nguvu awalee na awaone wanae wakikua wakiwa na mapenzi ya wazazi wao wote(kwa mapenzi ya Mungu!!) Hivi uoe at 50 alafu useme yo proud just because hauna biological clock!!!!
 
Umeongea kitu cha muhimu ambacho wengi huwa tunajisahau kwacho, unatafuta a perfect wife/hubby wakati sisi wenyewe hatujakamilika.

And to men with money huwa wanahisi akishakuwa content with money basi ni lazima apate mwanake perfect just because ana pesa. Wanasahau kuwa hakuna mwanamke aliye perfect, na wanawake wale wenye vigezo vya wengi nao wanaangalia ni kitu gani extra huyo mwaaume anacho zaidi ya pesa zake. Hapo ndipo taabu inapoanzia.

Na mwanaume mwenye mind set ya aina hiyo huwa hawawi waume bora, maana ego yao ndio itakayokuwa inaendesha ndoa. Then comes "wanaume wangapi wenye pesa ndoa zao tafrani?" Money is something but not everything.
Umeona shida ilipo eeh,
Kila mtu anaangalia kibanzi kwenye jicho la mwenzake anasahau boriti iliyopo kwenye jicho lake mwenyewe.

Mm nlikua na falsafa hii...

"Kwakuwa kuna mdada anasali na kuomba apate mume bora....basi mm ngoja nisisali kuomba mke mwema bali niombe niwe mume bora ili Mungu anapomjibu yule mwanamke muombaji anitumie mm kujibu ombi lake."

NB: Mungu anampa mtu anachostahili....ss kama muombaji na yy si mke mwema basi kunipata ingekua shida.

.....sije kwenda kusumbua mtu wa watu mpole na ucharuko wako[emoji23][emoji12]

We all got what we deserve.
 
Mwanaume anatafuta,mwanamke anatafutwa so stress kwa ke zinakuw kubwa kuliko kwa me, me mda wowote anaweza akaoa mtu yeyote atakae katisha mbele yake
 
My dear tofauti ni kuwa wanawake sisi tuko open, tunaongea ukweli wa yale tunayopitia bila unafiki. Wanaume wana unafiki sana, unakuta mtu anaungua ndani ila anachoongea ni tofauti kabisa!!! Ukitaka kujua ukweli wao ongea na wale ulio karibu nao sana alafu wawe wanapitia wakati kama huo ndio wtakueleza ukweli.

Hivi ni nani hafurahii kuwa na famia mapema akiwa bado na nguvu awalee na awaone wanae wakikua wakiwa na mapenzi ya wazazi wao wote(kwa mapenzi ya Mungu!!) Hivi uoe at 50 alafu useme yo proud just because hauna biological clock!!!!
Girl, umeshatoka kanisani? Unaona siku ukiamka bila BBC unavyomwaga nondo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji120] [emoji120]
 
Umeongea kitu cha muhimu ambacho wengi huwa tunajisahau kwacho, unatafuta a perfect wife/hubby wakati sisi wenyewe hatujakamilika.

And to men with money huwa wanahisi akishakuwa content with money basi ni lazima apate mwanake perfect just because ana pesa. Wanasahau kuwa hakuna mwanamke aliye perfect, na wanawake wale wenye vigezo vya wengi nao wanaangalia ni kitu gani extra huyo mwaaume anacho zaidi ya pesa zake. Hapo ndipo taabu inapoanzia.

Na mwanaume mwenye mind set ya aina hiyo huwa hawawi waume bora, maana ego yao ndio itakayokuwa inaendesha ndoa. Then comes "wanaume wangapi wenye pesa ndoa zao tafrani?" Money is something but not everything.
Thank you...." Guys be like"
Hivi hapo mwishoni umeandika mwenyewe? ??
 
ni kweli kabisa.Haswa kuanzia age 35...very stressed.Watapinga lakin ndo ukweli
 
...I've got everything, but can't get a perfect woman.. hivi unataka mtu perfect, wewe una hata 50% za huo upafekti? Binadamu viumbe wa ajabu sana.
Hiyo everything yake ni pesa, nyumba na gari amemaliza afu anataka a God fearing, faithful, supportive, patient, a momma to his kids blah blah blah (a woman of valour kind of a thing). Hivi hata Mungu akikupa mke wa aina hiyo, you will surely ruin her life coz you dont have what it takes to sustain her. Kabla hujaanza kuangalia mtu mwingine atakuoffer nini, jiulize wewe binafsi utamuoffer nini.
 
Umeona shida ilipo eeh,
Kila mtu anaangalia kibanzi kwenye jicho la mwenzake anasahau boriti iliyopo kwenye jicho lake mwenyewe.

Mm nlikua na falsafa hii...

"Kwakuwa kuna mdada anasali na kuomba apate mume bora....basi mm ngoja nisisali kuomba mke mwema bali niombe niwe mume bora ili Mungu anapomjibu yule mwanamke muombaji anitumie mm kujibu ombi lake."

NB: Mungu anampa mtu anachostahili....ss kama muombaji na yy si mke mwema basi kunipata ingekua shida.

.....sije kwenda kusumbua mtu wa watu mpole na ucharuko wako[emoji23][emoji12]

We all got what we deserve.
Haleluya!
 
Haha kweli kabisa. Mungu akutane na haja ya moyo wako. Wengine wanapewa wake wema ila ndo wanaishia kuwasumbua na umcharuko wao
 
Back
Top Bottom