Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Mchawi pesa ... Me mpaka najiulizaga hivi jaki kampenda kweli mengi ?????........
 
One could argue that men are not desperate and, thus, stressed out ukilinganisha na wanawake. If you're a man na mambo yako yanaenda vizuri sidhani kama utakumbuka idadi ya wanawake ambao ndugu, jamaa na marafiki wamejaribu kuunganishia ili uwe na mahusiano nao with the ultimate goal of marrying them.

Kama article niliyoweka hapo juu inavyosemaa, for many women, "marriage is the ultimate goal". Tokea wakiwa wadogo, they have been dreaming of meeting a "prince" and stay happily thereafter. But the power of marrying bado ipo kwa wanaume. It is very unlikely kwa mwanamke ku-propose kwa mwanaume. But very few who know how to propose to a man, do get married.

Another could argue the key factor ni kuwa sie wanaume, maisha yetu tumeyapanga in terms of stages. Tunafanya mambo kwa stages. Stage 1 ikikamilika, haturukii stage ya tatu bila kukamilisha stage 2. We don't care about the time. This is so painful to women because wao wanafanya mambo yao kwa kuangalia time. Time is so important to them and, therefore, wanakuwa so freaked out kama muda unakaribia na hajatimiza lengo lake.

If you apply the above in the context of the modern word hali inakuwa even mbaya kwa pande zote. Wanaume wa kuoa wanakuwa wachache kutokana na sababu mbali mbali. Mojawapo ya sababu ni kuwa wanawake wa "kisasa" nao wamekuja na vigezo vyao vya mwanaume wanayemtaka. Wanaume wachache wana-meet hivyo vigezo.

Bahati mbaya vigezo hivyo vinafanana kwa karibu kila mwanamke. Mwanamke wa class 10 anataka exactly the same man ambaye mwanamke wa class 1 anamtaka. On one hand, this makes the market extremely competitive as 10 women could potentially be fighting among themselves kupata attention ya mwanaume mmoja. Hii nayo ni tatizo kwa wanaume 9 ambao hawa-meet vigezo vya wanawake hao 10 as they will be struggling to find the woman they want to marry.


Duh!, and to this goes a CAKE!
 
Asante kwa hii shule tunayoipata hapa JF.Suala la kumpa mwenzi anayefaa lina changamoto nyingi mno.Muda mwingine mtu inabidi mtu ukae mtu mrefu na kufanya tafakari ya kina unapofikiria mwenzi wa kuoana naye,hasa kizazi hiki cha dotcom cha mabinti waliojaa tamaa na wasio na shukrani
 
Asante kwa hii shule tunayoipata hapa JF.Suala la kumpa mwenzi anayefaa lina changamoto nyingi mno.Muda mwingine mtu inabidi mtu ukae mtu mrefu na kufanya tafakari ya kina unapofikiria mwenzi wa kuoana naye,hasa kizazi hiki cha dotcom cha mabinti waliojaa tamaa na wasio na shukrani
JF is a school of thoughts mkuu. Ukitaka kujifunza hapa ni kitu kizuri.
 
Mchawi pesa ... Me mpaka najiulizaga hivi jaki kampenda kweli mengi ?????........
Muhimu ni kuwa anapata anachotaka katika maisha, ukweli anaujua yeye, hata huko faragha anajua yeye, whether she's satisfied or not lakini anapata anachohitaji.

Kitu kimoja tu, kuolewa na mtu alokuzidi sana umri, chances za kubaki mjane kwa miaka mingi ni kubwa mno.
 
Stress za kuolewa/kuoa zinamkuta mtu yeyote, kutegemeana na ndoto au mipango yake. Maybe mtu amepanga kuwa nikifika age/stage fulani lazima niwe na A, B, C, so hiyo age/stage ikifika na hajakamilisha ndoto yake ndo mtu anaanza kuwa na stress. Au tu mtu anahitaji sana ndoa at the moment afu haoni mtu wa kufunga naye ndoa, ndo wengine desperation inapoanza bila kujali ni me/ke

Nafikiri kinachofanya wanawake tuwe desperate sana ni kale kamfumo kalikotuaminisha kuwa mwanamke hujakamilika bila ndoa . So pamoja na yote unayoyafanya/kuachieve as long as hujaolewa, jamii haitoacha kukuuliza maswali. So wengi wetu wanafall kuwa victims wa society, wanakuwa desperate sana kuolewa. Nilishawahi kukaa na binti, she was just 22 ila ni desperate kuliko shangazi yake hapa.

Kingine ni kwa vile tu wanawake tuna biological clock. Ukishafika age fulani fulani si salama sana kuzaa watoto. But at the very same time wapo wanaume ambao pia wanataka kuwa na familia mapema ili wazae mapema na walee watoto wao. Msemo wa kwamba mwanaume hata akiwa 50 anazaa ni kweli ila nafikiri wengi inawakuta tu kwa sababu fulani zilizo nje ya uwezo wao. Ila kwamba mwanaume anapanga kabisa kuwa nitazaa 1st born nikiwa 50 mmmmh. So wapo wanaume pia ikifika age fulani anaanza kuwa desperate as anaona muda unampita mkono na hana familia

Na ukweli ni kwamba tukakutana na wanaume desperate wengi tu. Kuna muda na sisi japo tunahitaji ndoa lakini udesperate wa mtu unakuogopesha hadi ndoa huitaki tena lol. Mtu mmekutana ndani ya mwezi anataka muanze process za ndoa, me hapana kwa kweli weee.

IMO, kuwa desperate ( na kitu chochote not necessarily ndoa) ni choice, ni sign ya kuwa "UNGRATEFUL". Unaconcentrate sana na usivyonavyo, unasahau kucount your blessings ndo maana unapanic. Maandiko yanasema "Bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo yote mtazidishiwa". So why are you stressing yaself ? Don't you believe in God's perfect time darlin?. Plus hakuna kitu kibaya kama kufanya maamuzi ya maisha yako ukiwa desperate. No wonder ndoa zetu nyingi ni za misukosuko, mtu hakuolewa/kuoa kwa sababu anajua ndoa ni nini na anajua ni nini wito wake katika ndoa, alifunga ndoa simply because muda umeenda or jamii inamnyooshea sana vidole au anataka azae watoto mapema. Decision yoyote ya maisha yako ifanyike muda ambao umerelax, while things are flowing naturally. Nikianza kuhesabu ambavyo sina kwenye maisha yangu, ni vingi mweeh but I chose to stick with my blessings, na huwezi kunikuta nina stress unless niwe naumwa (hahha Mungu nisamehe tu muda ninaoumwaga lol, Afya yangu, mtaji wangu). Weekend njema
Safi sana, umejibu yote.
Barikiwa
 
Naomben ushauri.. Sioni mwanamke wachaguo langu na nina 33yrs mpaka sasa.. Kila ninaye muangalia hana vigezo nimechoka nataka nizombe yeyote je mnaniambiaje wandugu??

Post sent using JamiiForums mobile app
Kama huoni wa chaguo lako adi umefika umri huo basi jua hayupo na hatokuwepo.
Jitafakari mwenyewe kwanza...je unasifa za kuwa mume!!?

Ukipata jibu utapata mwenye vigezo vyako.

Usisahau kuleta feedback hapa....
 
Back
Top Bottom