Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Huwa nakuombea, nakuombea upate mume bora, usiangukie jumba bovu, kuna wanaume/kama ilivyo kwa baadhi ya wanawake, they are wicked beyond human imagination[emoji12] .

Hata espy namuombea, ila yeye kama vile tayari keshaingia kwenye chama chetu vile[emoji12]
Daah mapenzi ya Mungu yatimizwe juu yangu.

Haha espy fujo tu yule
 
Kapyungu A, Heaven Sent ni mlokole, upo tayari kuamka kukemea mapepo usiku wa manane?
Ha ha ha nia kuu ni kuiweka familia mikono salama.

Hivi utajisikia wanao wakiwa wanalipukiwa na mapepo .

Kama ni mkristo ibada/ maombi yanatakiwa kuwa sehemu ya maisha yako. Otherwise unatafuta matatizo kwenye familia yako.

Hivi unajisikiaje mnapo fanya vitu pamoja na yule upendaye i.e kupika pamoja, kusali pamoja n.k
 
"Pray together, Pray for each other, then Slay together".
 
Kapyungu A, Heaven Sent ni mlokole, upo tayari kuamka kukemea mapepo usiku wa manane?
Hakuna raha anayopata mwanaume kama anayopata mwanaume alieoa mwanamke muombaji....anaemjua Mungu kwer na kumfata.

Na hiv wanaume tulivyo wazito kusali/kuomba.....asee omba Mungu umpate mwanamke wa hivyo utapata raha sana chief.

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Stress za mwanaume ni pesa tu maana usipokuwanazo wanawake wengi wanye vgezo unavyohitaj utapishana nao na sis hatuna clock age ya kuoa hata ukiwa na 45+ bado unaezaoa mweny 25. Tofaut na wanawake akishafka 30+ ndoa zinamkimbia kabsa
Yap . uko sawa sana mkuu.
 
Ha ha ha nia kuu ni kuiweka familia mikono salama.

Hivi utajisikia wanao wakiwa wanalipukiwa na mapepo .

Kama ni mkristo ibada/ maombi yanatakiwa kuwa sehemu ya maisha yako. Otherwise unatafuta matatizo kwenye familia yako.

Hivi unajisikiaje mnapo fanya vitu pamoja na yule upendaye i.e kupika pamoja, kusali pamoja n.k
Vijana wa siku hizi hawalijui hili......
 
Back
Top Bottom