Hahahaaaaa!! Hapo mwishoni nahisi zilikuwa akili za kuamkia.Thank you...." Guys be like"
Hivi hapo mwishoni umeandika mwenyewe? ??
Show me your friends. ........Upo vizuri Nalendwa, no wonder wewe ni chama kimoja na espy na Heaven Sent.
Sasa tutaanza kutafuta match yako, as we're done with espy, asituangushe tu.
Anajisahaulisha kuwa unajicontrol[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaaaaa!!! Eli79 nitakuchapa!!! Hizo BBC nazisikia tu ujue!!!
Pesa ni muhimu lakini sio kila kitu katika ndoa. Ndoa inaandaliwa kabla haujawa nayo, kuna mtu kasema hapo juu kuwa alikuwa anaomba Mungu amfanye awe mume bora kwa huyo mwanamke anayeomba ampate mume bora. Wakati unatafuta mke/mume wapaswa kujievaluate kwanza kuwa je wewe uko tayari kuwa huyo mume/mke bora?Hiyo everything yake ni pesa, nyumba na gari amemaliza afu anataka a God fearing, faithful, supportive, patient, a momma to his kids blah blah blah (a woman of valour kind of a thing). Hivi hata Mungu akikupa mke wa aina hiyo, you will surely ruin her life coz you dont have what it takes to sustain her. Kabla hujaanza kuangalia mtu mwingine atakuoffer nini, jiulize wewe binafsi utamuoffer nini.
And i'll tell you........Show me your friends. ........
Inategemeana na wewe hapo inabidi ujishushe ukubali na utakae kutana naeUnaweza kutafuta na ukose unachotafuta, how about that??
Tayari Mungu alishanibariki na nnae stahili...[emoji4][emoji4][emoji4]Haha kweli kabisa. Mungu akutane na haja ya moyo wako. Wengine wanapewa wake wema ila ndo wanaishia kuwasumbua na umcharuko wao
Ooh hongera sana na Mungu azidi kuwatunzaTayari Mungu alishanibariki na nnae stahili...[emoji4][emoji4][emoji4]
Amina, asante sana.Ooh hongera sana na Mungu azidi kuwatunza
Uh!!![emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Nichape ex darling, nichape tu!! Nani atakataa kuchapwa na weyee.
Haah kumbe![emoji15] [emoji15]Sasa wadada hao ambao unasema wanajitambua wananyodo hao utasikia ooo kama unanipenda tusibiri mpaka ndoa ndio tufanye tabia mbaya unajuwa mdada akishaanza nipa mashart mapema najuwa hata ndan atanisumbua tu so namuepuka mapema sana wadad wengi wanahis kuwa na vikwazo vikwazo vya ajab ndio wataonekana wana misimamo kumbe mnaharibu
Kwanini?Nashukuru kuumbwa ME
Post sent using JamiiForums mobile app