ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,589
- 130,955
- Thread starter
- #41
Nokia83Mm sidhani kama wanaume tuna stress ya kuoa ikitokea umepata mtu sahihi na uwezo wa kuishi nae upo unamuoa tu.
Tatizo wadada wengi sasa wanapenda kuolewa kama fashion hawa ndio wanaleta utata sana
Je, kama huo uwezo huna, umri unaona kabisa umefika. Hutakuwa na stress mkuu??