Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Kumbe hizi stress huwa zinasababishwa na ashki ya kutaka dushe/papuchi??!..........Mimi nilikuwa nafikiri kuwa hizi stress huwa zinasababishwa na mtu kuona kuwa anachelewa kuanzisha familia,poor me!!!

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
hahahaha
poor me too!!
kumbe kwenye kuolewa stress zinakuwaga ni za kukosa mgegedo tuu!!
 
Kwa bwana machache ni umri niliouangalia mkuu.

Hahahahahaha ngoja nirudishe macho mawili rodini.

Stress za mwanamke ambae umri umepitiliza hana mtoto wa hana mume...we zisikie tu mtu akikupigia story.

Kama anajijua kuwa hawezi kuzaa kabisa inakuwa ni bora.anaishi akijua mimi kwenye hii dunia sitaweza kuacha uzao wangu
Hivi unadhani kuna mwanaume yupo 40+ hana mtoto, hana mke na bado anafurahia hali yake? Kama wapo ni 1/100.
 
stress zipo kote kaka ila wanaume wanajipa moyo kwa kua wanaweza wakapata mwanamke wa kumgonga hata kila siku akienda kona bar,au kwa wahaya

hiko ndo kinachowapa kibr wanaume
sisi wanawake tunasubiri tufatwe ndo tupunguze ashk zetu
geniveros,
Binafsi yako, uliwahi kuwa stressed na kuolewa? Ilikuja ukiwa na umri gani?
 
Kwa sisi wanaume ni nadra sana kuwa na stress za kuona ukilinganisha na wanawake,hii ni kutokaba na maumbile ya kila jinsi.
Mwanaume anaweza kuoa hata 50 + na kuanzisha familia ingawa familia ya aina hii ina uwalakini kiasi fulani,hata kubambikiwa watoto inawezekana pia tena pale mwanaume huo anapukuwa ameoa binti wa kuanzia miaka 18-35 hivi.

Umri wa mwanamke katika kuzaa una ukomo hasa kupata watoto wenye muendelezo mzuri wa akili,hivyo ukipita mwanamke stress lazima ndiyo ufikia hatua ya kuzaa hata na mume wa mtu.
Uzi safi.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Stress za mwanaume ni pesa tu maana usipokuwanazo wanawake wengi wanye vgezo unavyohitaj utapishana nao na sis hatuna clock age ya kuoa hata ukiwa na 45+ bado unaezaoa mweny 25. Tofaut na wanawake akishafka 30+ ndoa zinamkimbia kabsa
D mapito
True that, pesa kwa mwanaume inachukua nafasi kubwa. Sasa imagine upo 40, huna pesa, wadada unaposhana nao, hutopata stress? Be honest.
 
@khatwe, mfano wako upo sawa kabisa. Kuliko kuzunguka n bahasha miaka mitano, ni heri kuwa na sehemu ukajipatia kipato kidogo, utapunguza soli za viatu kuisha.

The thing is, hiyo ni plan B, baada ya plan A kushindwa, ndio unaona isiwe tabu ngoja niangalie upande huu unakuwa vipi.

Likewise, kama mtu anaona mda unapita, hakuna proposal yoyote ya "ajira" ni heri kujiajiri. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa bado mtu angependa kuajiriwa.
Inategemea na hali aliyokutana nayo huko kwenye genge
 
geniveros,
Binafsi yako, uliwahi kuwa stressed na kuolewa? Ilikuja ukiwa na umri gani?
hapana kwa sababu niliolewa at 21 yrs old hata baada ya kufail ndoa yangu stress nyingi zinasabishwa na kukosa mtu wa kukufariji au kupunguza homornes mwilini ila nimeshawahi kupata tatizo baada ya kukaa muda mrefu bila kushiriki kujamiiana[emoji2] [emoji85]
 
Hiyo ipo, "mademu" watano na hakuna anayefit, huoni kuwa wewe utakuwa ndio tatizo. How do you date five girls, with whom there's no match?? Yani wadada watatu lakini hakuna anayefit???

Ee unakuta huyu ana tabia nzuri lakini tako hana, mwingine ana tako ila sura mweeeh.. Huyu ana sura na tako ila tabia mbayaa.. Yaani ni stress tupu braza angu[emoji24]
 
Niulize kaswali kadogo kuhusu huko kunakoitwa 'kukata tamaa'. Let's say wewe ni graduate umezunguka na bahasha wee umechoka mwisho wa siku ukaona maisha hayapo kwenye kuajiriwa tu ukaamua kuweka vyeti pembeni na kufungua genge lako tuseme umekata tamaa? Hujakata tamaa ila umeangalia upande wa pili wa shilingi na kuona ili mtu uishi maisha mazuri si lazima uajiriwe ukalie lijiofisi hiloo....unaweza kuwa na maisha mazuri hata nje ya kuajiriwa. Wenye kunielewa wamenielewa

Hahaaa. Sio siri umenifikirisha aisee ila mwisho wake nimekuelewa sana my dada.

[emoji122] [emoji122] [emoji122] ulichosema ni kweli kabisa.
 
Kumbe hizi stress huwa zinasababishwa na ashk ya kutaka dushe/papuchi??![emoji15]....Mimi nilikuwa nafikiri kuwa hizi stress huwa zinasababishwa na mtu kuona kuwa anachelewa kuanzisha familia,poor me!!!

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
Hahahaa mimi mawazo yangu ni kuanzisha familia bwana hebu nioe achana na mambo ya chura
 
Sky Eclat, my doctor.
Wewe unaonaje, japo sio kidume. Unadhani vidume nao hukumbwa na "desperate times"?
Mimi Sky Eclat si dr mkuuhii kitu ya desperation inasababu tofauti, wengine kwao anezaliwa mtoto wa kiume pekee anataka kuongeza uko, wengine wamemaliza kusoma na kujenga nyumba ndiyo anaona umri unasogea, wengine wana mali za urithi hawahutaji kuhastle sana. Tuko tofauti
 
Back
Top Bottom