Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Mwanaume huwezi kuoa hujui mke utamlisha vipi, kumbuka kwenye kuoa kuna maswala ya kifamilia , pande 3, hiyo mliyoiunganisha, familia yako wewe mwanaume na familia ya mwanamke

Mwanaume akishakuwa na uwakika wa hayo mambo juu hapo huwa hana pressure kubwa ya kuoa.

Kwetu sisi wanawake tunasubiri mwanaume akutongoze halafu aamue mwenyewe, akuoe au akutumie km tissue.
Kwa hiyo sisi wanawake tunapressure kubwa kuliko wanaume kwasababu hata huyo mchumba uliyenaye huna uwakika kama atakuoa au la. Ndio maana siku hizi mwanamke akishamuelewa mwanaume anajibebea mimba fastar kwa sababu anajua mwanaume anakwambia subiri mwisho wa siku unaachwa anaolewa mwingine.
 
Mkuu, soma post [HASHTAG]#119[/HASHTAG], this girl/woman is very good upstairs, daaa!, kama hajaolewa huyu, the guy will be very lucky. huwa nasoma komenti zake nyingi..(Japo sio sahihi sana kuconclude kutokana na koments tu za mitandaoni, hahaahaaa!)
Amesimama katika bwana amtiaye hekima na busaraa
 
Dada, ur a genius. Uko vizuri. Nakubaliana na kila herufi za kwenye sentensi zako. Mchango wangu kwenye hii thread ni ku-copy na ku-paste hii comment yako. [emoji106] [emoji106] [emoji106]

Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji120][emoji120] [emoji120]
Samahani, Dada wewe ni Counselor? Aisee uko vizuri. Shikamoo kwako.

Post sent using JamiiForums mobile app
Counselor wa jf lol
 
Heaven Sent , siku zote najua una busara ila sikujua kwamba una busara kiasi hicho, post yako#119 imenifanya sasa nakuangalia kwa jicho la tatu.
Oooooops Amen mpendwa. To God be the glory[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mkuu, soma post [HASHTAG]#119[/HASHTAG], this girl/woman is very good upstairs, daaa!, kama hajaolewa huyu, the guy will be very lucky. huwa nasoma komenti zake nyingi..(Japo sio sahihi sana kuconclude kutokana na koments tu za mitandaoni, hahaahaaa!)
Hahaha kwa kweli usiconclude maana vya sirini huvijui. Unaweza ukapewa HS ukaishia kumgawa ndani ya dk
 
Mkuu, soma post [HASHTAG]#119[/HASHTAG], this girl/woman is very good upstairs, daaa!, kama hajaolewa huyu, the guy will be very lucky. huwa nasoma komenti zake nyingi..(Japo sio sahihi sana kuconclude kutokana na koments tu za mitandaoni, hahaahaaa!)
Kichwa ya mtu inaweza kuwa indication ya tabia ya mtu.


Siku zote wanawake kama hawa wanakuwa ni wife material.


Unacho kifanya nyuma ya key board ukiwa na simu yako mara nyingi kina reflect tabia yako
 
Kuna siku niko kitaani nikakutana na mwana kijiwe, nyumba ya tatu toka tulipokaa kuna bwana alikuwa ndio anaoa siku hio...
Mchizi akaropoka!
"Oi Extrovert vipi, naona jamaa yako nae kaamua kuweka matatizo ndani"

Aisee nilitafakari kile mchizi alichoongea halafu nikacheka sana yani. Kiukweli ile kauli ilikuwa na maana kubwa sana hasa nikiwa nshawahi kuishi na demu geto nikashuhudia vimbwanga vyake.
 
Oooooops Amen mpendwa. To God be the glory[emoji120] [emoji120] [emoji120]

Hahaha kwa kweli usiconclude maana vya sirini huvijui
Huwa nakuombea, nakuombea upate mume bora, usiangukie jumba bovu, kuna wanaume/kama ilivyo kwa baadhi ya wanawake, they are wicked beyond human imagination[emoji12] .

Hata espy namuombea, ila yeye kama vile tayari keshaingia kwenye chama chetu vile[emoji12]
 
Back
Top Bottom