Education Mentor
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 395
- 695
Stress zipo Kwa Man ambaye kafikia Maturity ya Kuona Mbali katika maisha
Stress 1. Unataka umuoe mwanamke ambaye mkizaa mtoto wakike hawe kama mama yake hasa Kitabia sababu hata wewe umependa character hiyo.
Stress 2. Umeona bi maza alivyokuwa akitendwa na mshuwa alivyokuwa akilia mara kwa mara. sasa umekuwa
maturity utafikiri sana upate a wife of noble character ili urekebishe makosa aliyoyafanya mshua kwa maza.
Stress 3."Behind every successful man there is Woman" imejitosheleza kwanini upate stress za kupata Mke mwema.
"Dawa ya Stress tengeneza mahusiano na Mungu ukitulia utapata aliyetulia mwenzako"