ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,589
- 130,952
- Thread starter
- #101
captain tembahahaha very funny
ww ndo ulikua na stress usipende kujumisha wanaume wote
na ziko sababu znazofanya mwanamke aolewe mapema na mwanaume kuchelewa
so kwa mwanaume km mm hata nkiwa na 35 hakuna tatzo llt uki-compare na mwanamke
sent from aifoni seveni plasi
Kweli Inawezekana mimi ndio nilikuwa stressed, ndio maana nikahitaji uzoefu wa vidume wenzangu.