Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,954
- 183,559
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo tulale, mzungu wa nne.[emoji125] [emoji125]
Sijaribiwi ujue, we shauri yako!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo tulale, mzungu wa nne.[emoji125] [emoji125]
"Double coincidence of wants" kind of a thing
Ndivyo ilivyo weka vigezo ikiwa wewe hivyo unavyo sasa mtu ananyambula wakati yeye mwenyewe akisogelea mtoto ni kilio halafu yeye anataka mrembo mmmmmmNa hii inafundisha kuwa ktk vigezo unavyoweka kwa mwenzi ni vizuri kuangalia vya kwako kwanza pia.
Unachukua kitabu cha dini au tenzi za rohoni unaanza kuimba usingizi utakuja tu wanguNope. Yaani ukilala msaa matano usingizi unakata. Afu unakuta huna wa kupiga nae story[emoji31] [emoji31]
Si ndiyo ile chagua chagua mwisho una angukia sio!Kwanin uogope kuongozana na mwenza wako
Ndivyo ilivyo weka vigezo ikiwa wewe hivyo unavyo sasa mtu ananyambula wakati yeye mwenyewe akisogelea mtoto ni kilio halafu yeye anataka mrembo mmmmmm
Post sent using JamiiForums mobile app
Ndiyo wapo wakuta pockets lakini wapo ambao wana angalia vyote vyote mie nilishuhudia dada eti anaongea kabisa hawezi ongozana na mmewe kisa mbaya alifuata pesa na wanazaa naye embu ona mateso ya nini kama ulibeba gunia la crepa nenda nalo hivyo hivyo [emoji23] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha!, eti akisogelea mtoto kilio.
Lakini kuna wengine wanajua hata kama reception haikaribishi vizuri kama wana deep pockets mwenzi atajibu tu..
[emoji310]Usifanye jambo kwakuwa watu wanafanya. Fanya kwakuwa ni sahihi kwako kufanya. Hao walio kwenye ndoa wako kwenye ndoa zao sio yako. Ndoa yako unaitengeneza wewe ukimtanguliza Mungu(if you believe).
Ha ha mkuu huwezi soma mpaka asubihi. Kila kitu na wakati wakeUnachukua kitabu cha dini au tenzi za rohoni unaanza kuimba usingizi utakuja tu wangu
Post sent using JamiiForums mobile app
Kama ni biblia asome mithali yote.....atapata maonyo na mafundsho mazuriUnachukua kitabu cha dini au tenzi za rohoni unaanza kuimba usingizi utakuja tu wangu
Post sent using JamiiForums mobile app
Ndiyo wapo wakuta pockets lakini wapo ambao wana angalia vyote vyote mie nilishuhudia dada eti anaongea kabisa hawezi ongozana na mmewe kisa mbaya alifuata pesa na wanazaa naye embu ona mateso ya nini kama ulibeba gunia la crepa nenda nalo hivyo hivyo [emoji23] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app