Wee uchwara bure kabisaUmempa makavu kenge huyu.
Wee uchwara bure kabisaUmempa makavu kenge huyu.
Kuvimba koote huku lengo lako ni kumtetea mwenda kuzimu yaani unajaribu kumuondoa hatiani kwamba hakuhusika na mipango ya mauaji pamoja na kutayarisha hotuba ya marehemu na mazishi yake! Mungu si Athumani kibao kikageuka na hivi sasa kawekewa gogo la moto kwenye ushuzi.
magufuli then bashite pia siro muroto na ****** ndio wahusika wakuuMkuu mbona unateseka sana, what if ni Lema na Mbowe ndio walihusika kumpiga lissu risasi nilishakuambia wewe ni panya tu unabweka ukiwa nje fisi akitokea unatoka baru 😅😅😅
Kama wahusika wakiwa ni hao mbona ndio vzr upelelez ufanyike wapelekwe kwa court na wapigwe mvua ya maisha! Itakua poa sana watawapunguzia kupambana na upinzan. BTW hawatak kufanya uchunguz hii inaleta taswira..........!Mkuu mbona unateseka sana, what if ni Lema na Mbowe ndio walihusika kumpiga lissu risasi nilishakuambia wewe ni panya tu unabweka ukiwa nje fisi akitokea unatoka baru 😅😅😅
Masele anaponzwa na usukuma Gang,Alipangalo Mola huwa ni swala la muda tu.
Tusitukane wakunga na uzazi ungalipo.
Usimchezee Mamba kabla ya kuvuka mto.
Ngoja tuone karata za Maselle atakavyozichanga!
Mama kawaambia tafuteni Ajira Acheni Kutumika MTAISHIA kuwa ngazi mpaka uzeeniAlipangalo Mola huwa ni swala la muda tu.
Tusitukane wakunga na uzazi ungalipo.
Usimchezee Mamba kabla ya kuvuka mto.
Ngoja tuone karata za Maselle atakavyozichanga!
Mkuu mbona unateseka sana, what if ni Lema na Mbowe ndio walihusika kumpiga lissu risasi nilishakuambia wewe ni panya tu unabweka ukiwa nje fisi akitokea unatoka baru 😅😅😅
Vituko gani na bandiko lake liletwa, unamuonea wivu kama mke mwenzioHapo hakuna cha Mama ni kamati inafanya kazi. Vituko alivyofanya South Africa vinamuondolea sifa huyo! Wapo akina Tulia Ackson wanasubiri kipenga kipulizwe, na yeye pamoja na akina Zungu wameshanyaka fomu, tutauona mtanange mwisho wa siku!
Nitafurahi mno. Kila la heri kwake Masele. Bunge kitakuwa la kisomi.Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii imekaaje wadau?
Hiz tetesi umezitoa wap?Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii imekaaje wadau?
Huyu atamweza Dr Nchimbi?Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii imekaaje wadau?
Porojo tu za kwenye mitandao kama zilivyo siku zote! Jina litajulikana mwisho wa mwezi, maana waliochukua fomu ni wengi na chama kitapitia majina yote na kuyachuja na kutoka na jina moja litakalopelekwa kupigiwa kura na wabunge!Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii imekaaje wadau?
Vituko gani na bandiko lake liletwa, unamuonea wivu kama mke mwenzio
Ukweli kuhusu ishu ya Stephen Masele
Kwa hisani ya Malisa GJ Kwa wasioelewa yanayoendelea kuhusu Masele. Ni kwamba Masele ni Makamu wa kwanza Rais wa bunge la Afrika (PAP). Hivi karibuni ameingia kwenye mgogoro na Rais wa bunge hilo Bw.Roger Nkodo Dang raia wa Cameroon. Masele anamtuhumu Dang kwa ubadhirifu wa pesa za bunge hilo...www.jamiiforums.com
Endelea kumuota Steven Masele