Tetesi: Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

Hakika jiwe alikuwa Iblis mal uun
Kuvimba koote huku lengo lako ni kumtetea mwenda kuzimu yaani unajaribu kumuondoa hatiani kwamba hakuhusika na mipango ya mauaji pamoja na kutayarisha hotuba ya marehemu na mazishi yake! Mungu si Athumani kibao kikageuka na hivi sasa kawekewa gogo la moto kwenye ushuzi.
 
Mkuu mbona unateseka sana, what if ni Lema na Mbowe ndio walihusika kumpiga lissu risasi nilishakuambia wewe ni panya tu unabweka ukiwa nje fisi akitokea unatoka baru 😅😅😅
magufuli then bashite pia siro muroto na ****** ndio wahusika wakuu
 
Mkuu mbona unateseka sana, what if ni Lema na Mbowe ndio walihusika kumpiga lissu risasi nilishakuambia wewe ni panya tu unabweka ukiwa nje fisi akitokea unatoka baru 😅😅😅
Kama wahusika wakiwa ni hao mbona ndio vzr upelelez ufanyike wapelekwe kwa court na wapigwe mvua ya maisha! Itakua poa sana watawapunguzia kupambana na upinzan. BTW hawatak kufanya uchunguz hii inaleta taswira..........!
 
Alipangalo Mola huwa ni swala la muda tu.

Tusitukane wakunga na uzazi ungalipo.

Usimchezee Mamba kabla ya kuvuka mto.

Ngoja tuone karata za Maselle atakavyozichanga!
Masele anaponzwa na usukuma Gang,
So hawezi kuchaguliwa.
 
Jamaa linaliwa funza tu saa hiz, kaa duanz vile
Mkuu mbona unateseka sana, what if ni Lema na Mbowe ndio walihusika kumpiga lissu risasi nilishakuambia wewe ni panya tu unabweka ukiwa nje fisi akitokea unatoka baru 😅😅😅
 
Kweli Fisi habari nyingine yaani anamla Swala na Chatu kwa pamoja
IMG_3892.jpg
 
Hapo hakuna cha Mama ni kamati inafanya kazi. Vituko alivyofanya South Africa vinamuondolea sifa huyo! Wapo akina Tulia Ackson wanasubiri kipenga kipulizwe, na yeye pamoja na akina Zungu wameshanyaka fomu, tutauona mtanange mwisho wa siku!
Vituko gani na bandiko lake liletwa, unamuonea wivu kama mke mwenzio

Mengine yote fanyeni kwa kuwa bunge Hilo Ni la kijani hakuna rangi nyingine itakayo ingia,tunachotaka sie Ni katiba tu na tume huru ya uchaguzi ndio tutaelewana.
 
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii imekaaje wadau?
Porojo tu za kwenye mitandao kama zilivyo siku zote! Jina litajulikana mwisho wa mwezi, maana waliochukua fomu ni wengi na chama kitapitia majina yote na kuyachuja na kutoka na jina moja litakalopelekwa kupigiwa kura na wabunge!
 
Endelea kumuota Steven Masele
Vituko gani na bandiko lake liletwa, unamuonea wivu kama mke mwenzio

Back
Top Bottom