Tetesi: Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

Vijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Hata wewe inaonekana hujaisoma katiba kuhusu upatikanaji Wa speaker!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Vijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Ujuaji wa kindezi huu. Haya, soma hapo. Hata wewe kwa kuwa unajua kusoma na kuandika, una sifa za kuwa Mbunge wa JMT na hivyo kuwa speaker

AE13A614-AF21-4275-97FF-2ACE7E9AE544.jpeg
 
Vijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Wewe ndio huijui katiba . Usikurupuke kujifanya unaijua .. Adam Mkwawa na PIUS Msekwa unaweza kuniambia walikuwa wabunge wa majimbo gani??
 
Kwa sasa hata spika akiwa mkuu wa majeshi sioni uwezo wake kiitifaki na kimhimili maana tayari anakuja kuwa spika as radio speaker hatakuwa na uwezo na mamlaka kulingana na ile mihimili mitatu.

So aje sijui ndiyo Steven au aliyekuwa mjumbe wa nchi kule Brazil nothing else!.

👉🏾 Wote ni "TII MAMLAKA"
 
Mbowe sio Gaidi-Kamanda wa Kongwa

Tunataka Katiba Mpya izuie viongozi kurogwa-Chalamila
 
Vijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
.... daaah! wewe ndio ukasome Katiba! Mabere Marando alipogombea uspika 2015 alikuwa mbunge wa kuchaguliwa? Hili taifa lina vilaza sana ndio maana wanasiasa wanalichezea sana.
 
Spika wa Bunge sio lazima awe Mbunge, Naibu Spika ndio anapaswa kuwa Mbunge na sio lazima Mbunge wa jimbo
Vijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
 
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hii imekaaje wadau?
Hata km akiwa Msukuma fresh tu,sisi watu wa chini haitusaidii sana, maana tusipokomaa kivyetu vyetu hatuwezi kula.
 
Back
Top Bottom