Tetesi: Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

Alipangalo Mola huwa ni swala la muda tu.

Tusitukane wakunga na uzazi ungalipo.

Usimchezee Mamba kabla ya kuvuka mto.

Ngoja tuone karata za Maselle atakavyozichanga!
Aliyemmiminia Lissu risasi utadhan mnyama kumnyima hela za matibabu na stahihiki na kwenda mbali hadi kuratibu na kupanga msiba na mazishi yake kabla hajafa yuko wapi?

Alipangalo Mungu ni swala la muda tu.

Cc nyboma Kiturilo Idugunde the witch
 
Mkuu mbona unateseka sana, what if ni Lema na Mbowe ndio walihusika kumpiga lissu risasi nilishakuambia wewe ni panya tu unabweka ukiwa nje fisi akitokea unatoka baru 😅😅😅
 
Hana sifa huyo, kama unabisha utakuja kucheka hapo mwisho wa mwezi' Jina lake litafyekelewa mbali, hana nidhamu! Kama ni mume wako mpe pole tu, panga la kufyekea limeshabolewa!
Wewe ni Mungu kwa Kua unajua Kesho yako na yake ? Atakushangaza hizi sio enzi za JPM mama anaangalia utendaji
 
Hapo hakuna cha Mama ni kamati inafanya kazi. Vituko alivyofanya South Africa vinamuondolea sifa huyo! Wapo akina Tulia Ackson wanasubiri kipenga kipulizwe, na yeye pamoja na akina Zungu wameshanyaka fomu, tutauona mtanange mwisho wa siku!
 
Mkuu mbona unateseka sana, what if ni Lema na Mbowe ndio walihusika kumpiga lissu risasi nilishakuambia wewe ni panya tu unabweka ukiwa nje fisi akitokea unatoka baru 😅😅😅
Kuvimba koote huku lengo lako ni kumtetea mwenda kuzimu yaani unajaribu kumuondoa hatiani kwamba hakuhusika na mipango ya mauaji pamoja na kutayarisha hotuba ya marehemu na mazishi yake! Mungu si Athumani kibao kikageuka na hivi sasa kawekewa gogo la moto kwenye ushuzi.
 
Weka ushahidi hapa kudhibitisha hayo madai yako, Kama huna ushahidi kaa kimya!!!
 
Back
Top Bottom