Tetesi: Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

Mimi naona Zungu ana kila sifa, ni mzoefu, ni Strong Man, na Mwadilifu na Ubabe, Ni mtoto wa Mjini.
Wakati mwingine Ushamba Unawapa shida Hawa Maspika waliotangulia akina Ndungai, na Ugogo,
Zungu ana ujanja gani kumzidi Masele , na ndio tunachokipendea viongozi wakiwa hawana njaa ndogo ndogo wanakua wanatenda Haki

Masela is an old Money kafanya kazi kwenye banks na telecom Tanzania amesoma Mambele na Ameshakua speaker utamfananisha na zungu mwenye exposure ya Ilala kakuta Lami, Maghorofa yalishajengwa kwa hiyo hana ubunifu wowote jimboni kwake zaidi ya kupiga makofi bungeni na kuwapa kiloba cha mchele watu wa ilala wakipata msiba
 
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii imekaaje wadau?
Mna viherehere si atachaguliwa mtu tu kuwa spika that simple
 
Experience ya huko huwezi kunitumia hapa bunge la Dodoma. Mazingira tofauti, siasa tofauti hata wabunge wenyewe tofauti. Huku kuna Dr Msukuma, Bulaya, Gwaji boy, Kibajaji nk.


Huwezi Kua speaker wa bunge la Africa bila Kua Mbunge Nchini kwako

So chill huyo Jamaa alikua mbunge Tanzania na speaker wa bunge la Africa kwa wakati mmoja ana uzoefu wote ndani na nje, Tayali wana jina lao la Nani awe speaker tuna comment kujifurahisha nothing serious
 
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii imekaaje wadau?

Nchi hii ina watu wenye hadhi sana msipende kuitukanisha nchi!! Huyu muache akafanye kazi kwa wanao mfadhiri.
 
Vijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Mkuu Mzee Chayai , unapowashauri watu wasome katiba, ina maana wewe umesoma katiba, ni wapi imeandikwa Spika ni lazima awe mbunge?. Kwa kukusaidia tuu, Spika sio lazima awe mbunge!. Mtu pekee ambaye ni lazima awe mbunge kutoka jimbo Uchaguzi ni Waziri Mkuu.
P
 
Ni mwanachama yoyote wa Ccm anaweza kuchukua form ya kugombea Kua Speaker

Kwa binafsi yangu Masele anafaa ni kijana mtiifu sana mwenye uzoefu mkubwa wa kimataifa na hasie na makuu

Kwa Kua Mama samia ni modern woman na wasaidizi wake na wao wangekua wa kisasa kama yeye mwenyewe Nchi ingesonga kimataifa zaidi
Naunga mkono hoja.
P
 
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii imekaaje wadau?
Huyu ni mmoja wa vijana walokuzwa na mfumo na akaiva, hivyo si mbaya akipewa kuongoza kwa muda maalum.

Spika kwa miaka mitatu si mbaya.

Akifanya uzuri baada ya 2025 wamwache aendelee.
 
SUPIKA atapewa BETINA hiyo nafasi, ni zamu ya wanawake sasa. Sisiem mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom