Hawa watu fujo zote humu JF kumbe hata stendi ya daladala hawana asee.Huwa mnapost majumba majumba mazuri uko migombani kumbe mna stand kama vichochoro vya wahaya
Ngoja watu wa Kilimanjaro waje tuone watasemaje
Jukwaa La Ujenzi LipoJukwaa la ujenzi lishaombwa sana na wadau humu ila sijajua kama lipo ama alipo.
Poleni sanaToka 2008 stendi wanasema wanajenga stendi
Niliona bukoba ikiwa chini ya chadema wanajenga stendi waliweka lami kabisa.Tatizo la Bukoba ni serkali,mchawi wa Kagera ni serkali mbaya wa maendeleo ya Bukoba ni ccm,tangia Nyerere mkoa ulitengwa kuanzie elimu,afya na miundo mbinu hakuna bahati mbaya hii ni mikakati iliyoasisiwa kwa wivu wa maendeleo tuliyokuwa nayo mapema mwaka 1928 mji ulikuwa unakuwa kwa kasi lakini Nyerere akaona wivu ndo ukaandaliwa mkakati wa kudhoofisha Bukoba na Kagera kwa ujumla nakutengeneza sheria za uhujumu uchumi wakataifisha mali za watu watu waliamua kubeba vitu vyao vya thamani na kwenda kuvitekekeza maporini ili visikutwe nyumbani vitu kama mabati,tv,pikipiki,baiskeli ata fedha nyingi zilichimbiwa ardhiri na wengi walisahau walikoziweka.
Juhudi za kudidimiza Kagera ziliendelea wawekezaji wengi walitaka kujenga viwanda Kagera lakini walikataliwa na kuelekezwa Mwanza nataka niwambie Nchii Kagera ina hali ya hewa nzuri ya kuishi kuliko mikoa mingi apa nchini Kagera ina ardhi yenye rutuba kuliko mikoa mingine lakini pia ina ardhi ya kutosha kwaajili ya kilimo cha kibishara.
Upande wa stendi kuu na soko kuu la Bukoba kama walivyosema watangulizi apo juu hakuna kabila la kujenga stendi au soko,hakuna kanuni wala sheria inayotoa nafasi kufanya ivyo swala la stendi nila serkali serkali kushindwa kujenga stendi na soko ni mwendelezo wa kuididimiza Kagera ila katika awamu zote za utawala awamu ya tano imefunga record maana babala ya kupeleka fedha za maendeleo waliamua kubeba ata za misaada mfano mzuri nizile B60 zilizotolewa kwaajili ya wahanga wa TETEMEKO LA ARDHI 2016 tuliambulia B3 tu zilizojenga shule ya Ihyungo japo na penyewe ni utata mtupu maana kuna tetesi kuwa shule ilijengwa na makampuni mawili ndio walitoa hizo B3.
Mvutano uliomshinda Kikwete akiwa Rais alipofika Kagera na kukutana na Kagasheki aliyekuwa Mbunge wakati ule na aliyekuwa Meya wa mji Dr.Amani Rais alishindwa kutatatua mgogoro ule uliokuwa wa kimaslahi kati ya Ccm,Mbunge na Meya soko kuu halikujengwa na stendi pia.
2014 wanaBukoba wakafanya mabadiliko makubwa serkali za mitaa wakafuta wenyeviti wote wa mitaa na wajumbe wake 2015 madiwani 70 wakatoka upinzani na Mbunge iliyopelekea Meya na Naibu wake kutoka upinzani ndio muda Magufuli aliingia madarakani akaelekeza tamisemi waondoe makusanyo yote ya halmashauri kurudi serkali kuu halmashauri nyingi zikadhoofika nyingine zikishindwa kujiendesha nakutishiwa kufutwa lakini Manispaa ya Bukoba ilijibana na kufanikiwa kujenga stendi mpya Kyakairabwa uku wakishindana na serkali kutokana na fedha za ndani chini ya usimamizi makini wa Meya kijana Chief Karumuna na Naibu Meya Jimmy Karugendo walifanya kazi kubwa uku wakiunganisha makundi yaliyokuwa asimu
2019 Mwendazake kamwagaanyanga akachukua wenyeviti wote serkali za mitaa na wajumbe wake 2020 akachukua madiwani,wabunge na Urais chakwanza alielekeza Tamisemi warudishe makusanyo kwenye halmashauri lakini kwa upande wa Bukoba pamoja na kurudishiwa makusanyo wakaanzisha mgogoro mpya wakidai stendi ya Kyakairabwa ikiendelezwa watawainua CHADEMA kwahiyo 2024/25 watabwagwa kwenye UCHAGUZI.
Mungu akiwa fundi mkuu akatwangwa mtu na kufanya utulivu wa muda nchini.
Sasa nyie mmepungukiwa Au hamjielewi?hv mnakubalije kuita apo bus stage?Kuna mdau mmoja alisema mji wa Moshi umepooza na kuoza kama taulo za gesti.
Kila sehemu inamapungufu yake
Hakuna bus stage kabisa. Sasa wapaite wapSasa nyie mmepungukiwa Au hamjielewi?hv mnakubalije kuita apo bus stage?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Nimeona bajeti ya tamisemi.Ina maana Bukoba haipo katika ile miradi ya serikali ya kuboresha vituo vikuu vya mabasi??
Ccm akili zao wanazijua wenyewe hii stendi mpya kama vile hswaioni sasa hivi wanatudanganya na taa za barabaraniNiliona bukoba ikiwa chini ya chadema wanajenga stendi waliweka lami kabisa.
Sasa mbona hawaiamishii stendi kyakairabwa hivyo hivyo ili mapato ya kwanza yaiendeleze
Ccm akili zao wanazijua wenyewe hii stendi mpya kama vile hawaioni sasa hivi wanatudanganya na taa za barabaraniNiliona bukoba ikiwa chini ya chadema wanajenga stendi waliweka lami kabisa.
Sasa mbona hawaiamishii stendi kyakairabwa hivyo hivyo ili mapato ya kwanza yaiendeleze
Kwani baraza la madiwani huko lina wachaga?jengeni stand hao madiwani wenu wanatafuta senene tuSidhan kama na nyie Moshi mmekamilika kila idara.Naamin kuna sehemu zina mapungufu.
Kuna vitu vinaboa kila nikienda bk stendi ipo vilevile na viongozi wako kimya