Stendi kuu ya mkoa wa Kagera inahitaji marekebisho

wakwe zetu hawa ila kwajinsi walivyo na tabia za hovyo,misifa,ukabila yani wao ukikaa nao kuongea kilugha tu.Wateseke milele wasijengewe stendi.!!
Sidhan kama kuna kabila lishawahi jenga stendi hapa bongo
 
Tatizo la Bukoba ni serkali,mchawi wa Kagera ni serkali mbaya wa maendeleo ya Bukoba ni ccm,tangia Nyerere mkoa ulitengwa kuanzie elimu,afya na miundo mbinu hakuna bahati mbaya hii ni mikakati iliyoasisiwa kwa wivu wa maendeleo tuliyokuwa nayo mapema mwaka 1928 mji ulikuwa unakuwa kwa kasi lakini Nyerere akaona wivu ndo ukaandaliwa mkakati wa kudhoofisha Bukoba na Kagera kwa ujumla nakutengeneza sheria za uhujumu uchumi wakataifisha mali za watu watu waliamua kubeba vitu vyao vya thamani na kwenda kuvitekekeza maporini ili visikutwe nyumbani vitu kama mabati,tv,pikipiki,baiskeli ata fedha nyingi zilichimbiwa ardhiri na wengi walisahau walikoziweka.

Juhudi za kudidimiza Kagera ziliendelea wawekezaji wengi walitaka kujenga viwanda Kagera lakini walikataliwa na kuelekezwa Mwanza nataka niwambie Nchii Kagera ina hali ya hewa nzuri ya kuishi kuliko mikoa mingi apa nchini Kagera ina ardhi yenye rutuba kuliko mikoa mingine lakini pia ina ardhi ya kutosha kwaajili ya kilimo cha kibishara.

Upande wa stendi kuu na soko kuu la Bukoba kama walivyosema watangulizi apo juu hakuna kabila la kujenga stendi au soko,hakuna kanuni wala sheria inayotoa nafasi kufanya ivyo swala la stendi nila serkali serkali kushindwa kujenga stendi na soko ni mwendelezo wa kuididimiza Kagera ila katika awamu zote za utawala awamu ya tano imefunga record maana babala ya kupeleka fedha za maendeleo waliamua kubeba ata za misaada mfano mzuri nizile B60 zilizotolewa kwaajili ya wahanga wa TETEMEKO LA ARDHI 2016 tuliambulia B3 tu zilizojenga shule ya Ihyungo japo na penyewe ni utata mtupu maana kuna tetesi kuwa shule ilijengwa na makampuni mawili ndio walitoa hizo B3.

Mvutano uliomshinda Kikwete akiwa Rais alipofika Kagera na kukutana na Kagasheki aliyekuwa Mbunge wakati ule na aliyekuwa Meya wa mji Dr.Amani Rais alishindwa kutatatua mgogoro ule uliokuwa wa kimaslahi kati ya Ccm,Mbunge na Meya soko kuu halikujengwa na stendi pia.

2014 wanaBukoba wakafanya mabadiliko makubwa serkali za mitaa wakafuta wenyeviti wote wa mitaa na wajumbe wake 2015 madiwani 70 wakatoka upinzani na Mbunge iliyopelekea Meya na Naibu wake kutoka upinzani ndio muda Magufuli aliingia madarakani akaelekeza tamisemi waondoe makusanyo yote ya halmashauri kurudi serkali kuu halmashauri nyingi zikadhoofika nyingine zikishindwa kujiendesha nakutishiwa kufutwa lakini Manispaa ya Bukoba ilijibana na kufanikiwa kujenga stendi mpya Kyakairabwa uku wakishindana na serkali kutokana na fedha za ndani chini ya usimamizi makini wa Meya kijana Chief Karumuna na Naibu Meya Jimmy Karugendo walifanya kazi kubwa uku wakiunganisha makundi yaliyokuwa asimu

2019 Mwendazake kamwagaanyanga akachukua wenyeviti wote serkali za mitaa na wajumbe wake 2020 akachukua madiwani,wabunge na Urais chakwanza alielekeza Tamisemi warudishe makusanyo kwenye halmashauri lakini kwa upande wa Bukoba pamoja na kurudishiwa makusanyo wakaanzisha mgogoro mpya wakidai stendi ya Kyakairabwa ikiendelezwa watawainua CHADEMA kwahiyo 2024/25 watabwagwa kwenye UCHAGUZI.

Mungu akiwa fundi mkuu akatwangwa mtu na kufanya utulivu wa muda nchini.
 
Niliona bukoba ikiwa chini ya chadema wanajenga stendi waliweka lami kabisa.

Sasa mbona hawaiamishii stendi kyakairabwa hivyo hivyo ili mapato ya kwanza yaiendeleze
 
Si tulishakubaliana tunataka maendeleo ya watu na sio vitu jamani!!
 
Ina maana Bukoba haipo katika ile miradi ya serikali ya kuboresha vituo vikuu vya mabasi??
Nimeona bajeti ya tamisemi.

Mkoa mzima wa kagera kuna mradi mmoja tu wa tamisemi nao ni ujenzi wa sehemu ya kuegesha maroli biharamulo.
Just imagine mkoa wa 3m people kuna mradi mmoja.halafu baadae anatumbuliwa waziri wa tamisemi eti miradi hairudishi mapato wakati wanajenga sehemu zisizo na uhitaji Sana
 
Niliona bukoba ikiwa chini ya chadema wanajenga stendi waliweka lami kabisa.

Sasa mbona hawaiamishii stendi kyakairabwa hivyo hivyo ili mapato ya kwanza yaiendeleze
Ccm akili zao wanazijua wenyewe hii stendi mpya kama vile hswaioni sasa hivi wanatudanganya na taa za barabarani
 
Niliona bukoba ikiwa chini ya chadema wanajenga stendi waliweka lami kabisa.

Sasa mbona hawaiamishii stendi kyakairabwa hivyo hivyo ili mapato ya kwanza yaiendeleze
Ccm akili zao wanazijua wenyewe hii stendi mpya kama vile hawaioni sasa hivi wanatudanganya na taa za barabarani
 
Nilijua mtaanza kuwasema wahaya na sifa zao. But sidhani kama hapa nchini kuna kabila lishawahi jenga stendi ya mabasi
 
Back
Top Bottom