STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

Mamndenyi namuonea huruma sana kaka yangu Vin Diesel maana huku kuruka ruka kwake ataishia kwenye mikono mibaya sana
Msalimie sana katibu kata wa kata ya mkata
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky kaka yako bado ni kijana sana mwache apime vina vya mashimo kwanza,
salamu zimefika kwa katibu kata,
hapa ni mahali pazuri kama nini uwepo wangu siujutii kabisa.

Mamndenyi ngoja tutampa mafundisho atulie kwenye ndoa yake maana atatanga mwisho atavipata vile vijidudu vibaya
 
Last edited by a moderator:
Sasa ivi nipo ofisini nasajili C.C.B members :coffee:
 
Mamndenyi hiyo ilikuwa ya yule jamaa wa kule kusini ila sijui kama inafanya kazi bana
Hahahaha kweli kuna siku Vin Diesel atarudi tuu
stevoh hicho chama chenu nina wasi wasi nacho kinaweza kosa wahusika
 
Last edited by a moderator:

teh teh teh teh. Watoto hawajambo huko Kasulu?
 
Last edited by a moderator:
hii makitu ilinipita wapi! Kaizer i miss u soooooo much, mzima wewe?? sikusomi mtaa wa pili ujue! usifanye hivyo bana!
 
Last edited by a moderator:
Kaka shemeji, mie najua nikisema suuuuu, hali ya bahari inapata tsunami.
Nakusalimia lakini tu.

yaani nilikuwa nakuwaza muda si mrefu na nikakuona kule kwenye uzi wa wema....u hali gani King'asti
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…