Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,616
- 64,476
Vin Diesel shamba kuna mafuriko nimebana kwa katibu kata ndo kanipa kasimu katochi ili nipitie jf.
Talaka nimeipata lakini simu imeisha chaji, nitaisoma vizuri baadae umeme ukirudi na ikibidi nitatafuta hifadhi hapa hapa kijijini.
Talaka nimeipata lakini simu imeisha chaji, nitaisoma vizuri baadae umeme ukirudi na ikibidi nitatafuta hifadhi hapa hapa kijijini.
Mamndenyi nimemtuma shamba...hatakuja jukwaani mpaka baada ya mavuno june...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Last edited by a moderator: