STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

cacico ni best tumekutana juzi kwenye function....tatizo wewe ya dar huyajui....... Madame B ni patner kwenye kuandaa party....angekuwa wangu asingeenda love connect... Kipipi aka peremende hujui ni mtu wangu wa nguvubsana.... lara 1 ni ........ King'asti huyo hapo muulize yeye nani yangu......

Mhhh kweli Vin Diesel wote hao hamkukutana barabarani ila umejitafutia na kujisevia
Mi hapo siongezi neno aise
 
Last edited by a moderator:
Baba V, acha nimalize hili swala la gesi Mtwara, nitarejea kwa kasi!
 
Last edited by a moderator:
Hehehe, usije ukanilipisha rent kwa kuishi mawazoni mwako kaka-shemeji. Mie bukheri, najenga taifa langu changa lililodumazwa na mafisadi.
yaani nilikuwa nakuwaza muda si mrefu na nikakuona kule kwenye uzi wa wema....u hali gani King'asti

heee, :confused2:rafiki naomba usiniweke kwenye list ya huyu fataki. Mie kwenye malovey sinaga kubip. Nikimkamata huyu atamsahau hadi mamake mzazi:shut-mouth:. Huyu ni kaka-shemeji yangu. Na :mwaaah: Sana, kiundugu zaidi. Tatizo lake tu :majani7:
Vin Diesel hivi hapa yupi ni yupi ni Madame B au ni lara 1 au ni King'asti au ni Kipipi au ni nani haswa
cacico sisi ni wazima nimekumissije aise mpaka natetemeka
 
Mkuu Baba V ndoa yangu ndo basi tena,nimeamua naoa kakifaranga under twenty this time kawe kananipasha msuri,narudia kusema 'gari bovu huvutwa na gari zima',sitaki wanawake nzee mimi.
 
Last edited by a moderator:
Sijambo shosti mzima wewe? Habari ya Tanga? Hivi bado ukikanyaga kifuu cha nazi kinakuuliza.....wanikayagia nini??..lol

me mzima pia. Nah hamna yalikuwa zamani sana tena hata wazazi wetu hawajaona ila ni story zipo
 
Mkuu Baba V ndoa yangu ndo basi tena,nimeamua naoa kakifaranga under twenty this time kawe kananipasha msuri,narudia kusema 'gari bovu huvutwa na gari zima',sitaki wanawake nzee mimi.

Copy: The secretary kwa ajili ya kuja kutoa msimamo wako
 
Last edited by a moderator:
Hehehe, usije ukanilipisha rent kwa kuishi mawazoni mwako kaka-shemeji. Mie bukheri, najenga taifa langu changa lililodumazwa na mafisadi.

heee, :confused2:rafiki naomba usiniweke kwenye list ya huyu fataki. Mie kwenye malovey sinaga kubip. Nikimkamata huyu atamsahau hadi mamake mzazi:shut-mouth:. Huyu ni kaka-shemeji yangu. Na :mwaaah: Sana, kiundugu zaidi. Tatizo lake tu :majani7:

hebu njoo unikamate kama sio wewe utakaekamatika.....nina neno na wewe hebu ukitulia nicheki tafadhali....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom