Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

......naomba kuelimishwa, kwa mujibu wa namba 7, inaonekana kama anaweza kuomba aende chooni na akaweza kukojoa basi squirt ni mkojo na ukikauka mtakuwa mnanukia mikojo.........kuhusu namba nne nawaomba wadada wa humu mnaosquirt mnipm tuzungumze mawili matatu tafadhali......manake haya maisha usipoomba msaada unaweza kufa huku vitu vingine unaishia kuvisikia......'nasema mniletee mwenye majiiii!!'.........
 
Wanawake sisi ndo walimu wao
Suala lake mbona linajibika tu,
Mfano kusema squirt Ina joto,
Hilo mbona nalihisi tu nnapozamisha dudu yangu

Suala la kufinya finya Kwa ndani,
Hilo nalihisi pia nnapokua nmezamisha ndani

Ni vitu simple kabisa kuhisi unaposex na mtu
 
Kwa uzoefu wangu, nilichogundua

1. Kusquirt hakuhusiani kabisa na kufika kileleni.

Mtu anaweza squirt hata mara 6 ila Bado akakwambia hajafika kileleni hata mara moja. Ukimuuliza inakuaje, atakwambia zile moments anavosquirt anaenjoy ila ni kawaida sana, Tofauti na anavofika kileleni.

2.Wanaosquirt wanavofika kileleni.
Ile Squirt inayohusisha kufika kileleni inakua na joto sana Tofauti na Ile squirt ya kawaida.
Pia wakati squirt ya kileleni inatoka,lazima utafinyiwa Kwa ndani zaidi Tofauti na kawaida.

3. Wengi wanaosquirt hawachoki mapema na huchelewa sana kufika kileleni, Mwenyewe pia nikifanya nao huchelewa sana kufika kileleni Tofauti na wenza wasiosquirt.

4. Nikifanya na anaesquirt, huwa Sio lazima sana kufika kileleni ndo nienjoy tendo,Naweza Fanya nikaondoka sijafika kileleni ila nime-enjoy sana tendo.
Nb: Burudani kubwa ya tendo na anaesquirt Iko mda ule yanafukuta ndani Kwa ndani na kutekenya kichwa Cha uume akijiandaa kulipua squirt.
Yaani ni kama vile chemichemi au volcano inavofuka na kutokota Kwa fujo ikijiandaa kulipuka,ule mtekenyo wake una Raha sana asikwambie mtu[emoji4]

6. Nmekutana na Wanaosquirt ila wengine hawajijui Kama huwa wanasquirt mpk uwaambie. Wengi huchanganya maji ya squirt na mikojo. Hivyo ukiwasifia unaenjoy basi wanakushangaa mtu gani huna kinyaa.

7. Wanaojijua wanasquirt,Wengi huona aibu sana kusquirt katikati ya tendo. Wakijihisi squirt inakuja, watakustopisha sana kwa excuse nyingi za kwenda haja ndogo,Lengo wakapunguze kimiminika kibofuni Kisha atarudi muendelee Kwa kuhofia aibu ya kukuchafulia mazingira.

CHANGAMOTO
1. Kulowesha mazingira
2. Wana uraibu sn wa ngono

Wengine mnaweza kuendelea kutiririka......
We dogo kiboko. Asubuhi hii unatuletea masuala haya? Neno la Mungu linasema, "enyi wanadamu ishindeni zinaa".

[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakati wa Squirt mwanamke anatakiwa kutulia, asihangaike Sijui kukata viuno Wala nn !! Akijiangaisha tuu, hawez kurushaa hayo maji !!.



Mkinibishiaa, Katafuten hata X video..

Utaona mwanamke anayejitutumua hua harushi Maji

Ila anayetulia tuu anapelekewa mambo na jama, ndio atarusha maji.

Mnajua kwann???.


Nikiwajibu, Kuna Mbwaa watakuja kusema, huo Udaktari ukisomea Mbususu tu au !!.
 
Dooh adi nmesisimka hii habari nashauri tuendelee kujifukiza Mungu atatuvusha , pia wakulima waongezewe pembejeo
 
Back
Top Bottom