mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
Ila mi naona wanaanza kufika kilele kisha ndio wanasquirt
Wanawake sisi ndo walimu waoKuna maelezo hapo naona kama yalipaswa kusemwa na wanawake wenyewe [emoji848] najiuliza umejua vipi mkuu [emoji4]
Kwa uzoefu wangu, nilichogundua
1. Kusquirt hakuhusiani kabisa na kufika kileleni.
Mtu anaweza squirt hata mara 6 ila Bado akakwambia hajafika kileleni hata mara moja. Ukimuuliza inakuaje, atakwambia zile moments anavosquirt anaenjoy ila ni kawaida sana, Tofauti na anavofika kileleni.
2.Wanaosquirt wanavofika kileleni.
Ile Squirt inayohusisha kufika kileleni inakua na joto sana Tofauti na Ile squirt ya kawaida.
Pia wakati squirt ya kileleni inatoka,lazima utafinyiwa Kwa ndani zaidi Tofauti na kawaida.
3. Wengi wanaosquirt hawachoki mapema na huchelewa sana kufika kileleni, Mwenyewe pia nikifanya nao huchelewa sana kufika kileleni Tofauti na wenza wasiosquirt.
4. Nikifanya na anaesquirt, huwa Sio lazima sana kufika kileleni ndo nienjoy tendo,Naweza Fanya nikaondoka sijafika kileleni ila nime-enjoy sana tendo.
Nb: Burudani kubwa ya tendo na anaesquirt Iko mda ule yanafukuta ndani Kwa ndani na kutekenya kichwa Cha uume akijiandaa kulipua squirt.
Yaani ni kama vile chemichemi au volcano inavofuka na kutokota Kwa fujo ikijiandaa kulipuka,ule mtekenyo wake una Raha sana asikwambie mtu[emoji4]
6. Nmekutana na Wanaosquirt ila wengine hawajijui Kama huwa wanasquirt mpk uwaambie. Wengi huchanganya maji ya squirt na mikojo. Hivyo ukiwasifia unaenjoy basi wanakushangaa mtu gani huna kinyaa.
7. Wanaojijua wanasquirt,Wengi huona aibu sana kusquirt katikati ya tendo. Wakijihisi squirt inakuja, watakustopisha sana kwa excuse nyingi za kwenda haja ndogo,Lengo wakapunguze kimiminika kibofuni Kisha atarudi muendelee Kwa kuhofia aibu ya kukuchafulia mazingira.
CHANGAMOTO
1. Kulowesha mazingira
2. Wana uraibu sn wa ngono
Wengine mnaweza kuendelea kutiririka......
Kwa mfano?Kuna maelezo hapo naona kama yalipaswa kusemwa na wanawake wenyewe [emoji848] najiuliza umejua vipi mkuu [emoji4]
Niwie radhi mkuuHuwezi kuandika bila kuchanganya lugha? au ndio unaendana na mazingira ya watu wajinga?
Zaman Niliwahi kuwaza pia hivo, ila wakanikanushaIla mi naona wanaanza kufika kilele kisha ndio wanasquirt
Ule sio mkojo mkuu,Maji yanayotoka huwa ni mkojo,acha kudanganywa watu,anatomicaly hakuna sehemy yoyote hayo maji yanatoka zaidi ya kwenye kibofu cha mkojo.
squirt ndio hitimzisho lajuuu la Mwanamke kwenye mapenzi.Zaman Niliwahi kuwaza pia hivo, ila wakanikanusha
2 maelezo ya mwanzo hapo, dah huenda ukawa unawajua wanawake kuliko hata wanavyojijua mkuu [emoji4]Kwa mfano?
Nakukubali sana dokta,Kuna Wanawake wanashida za Genital Prolapse kama vile Uterine prolapse , VVP, Cystocele , urethrocele .
Shida ambazo ni matokeo ya
Kubeba mimba , kuzaa, upasuaji wa eneo La nyonga, Ongezeko la nguvu ya presha tumbo , kurith , ukomo wa Hedhi n.k.
Shida hii ya Genital Prolapse HUWA FANYA WANAWAKE WATOKWE NA MKOJO WAKATI WA TENDO LA NDOA, NDIOOOO MKOJOOOO!!.
Dalili nyinginezo ni kaam vile .
Mwanamke kuhisi kitu kinashuka Ndani ya Uke.
Maumivu ya nyonga
Maumivu ya kuvuta yanayoanzia kiuno yanapanda mpaka mgongo shingon
Maumivu pale Mashine inapozama
Mwanamke anakua hapendi uzamishe Mashine yote Ndani
Kutokwa na mkojo Mara Kwa mara, kushindwa kuzuia mkojo wakati mwingine Mwanamke atahisi mkojo ahuishi hata kama kamaliza kukojoa.
NACHOTAKA KUSEMA HAPA NI KWAMBA .. KUWENI MAKINI MBWAA NYIEE, MTAKUTANA NA MIKOJO ,NYIE MHISI NI SQUIRT!!!.
SIFA YA MAJI YA SQUIRT....
Hayana Rangi
Hayana harufu
Yan joto
LAZIMA YATOKE BAADA YA KUMSISIMUA MWANAMKE SANA, SIO YAHAPOHAPO, NI UNAMCHEZEA KISIMI NA G SPOT HASWAA , WITH EXCEPTION KWA WAHAYA, WAHAYA WALE OG, WENYEWE HATA KWA KUMPIGIA KATERERO NAYO YANATOKA !!.
Kapeace
Daah nimeamini Mkuu [emoji4]Wanawake sisi ndo walimu wao
Yes Mkuu ,na mkojo huleta uvundo Ndani ya muda mfupiNakukubali sana dokta,
Wapo wanaokojoa, ilo sikatai
Ila mikojo na squirt ni Tofauti sana
Mikojo Ina harufu, lazima ugundue tu
😂😂😂Dooh...ndio kwaaanzaaa jumatatu..wtanzania tuna teseka sana. sijui ndio janga la ajira na mitaji linatufanya tuwe hivi au????