Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Hiyo stori umetunga tu sio kweli kwani sio rahisi kutoa siri za mkeo hadharani.
 
Duuh m huwa anaanda kopo pembeni akikaribia fasta nakunga kopo sitaki ujinga wa kwenda kuoga saa sita usiku
 
Hiyo ni kawaida sana...karibu mademu wote wanaweza ku squirt kama utampatia vizuri.....wengi wao hawajui wanafikiri wanajikojollea hivyo huwa wanaubana....kuna style ukimuweka mwanamke ukagusa ile GSpot lazima atoe hii kitu...mimi huwa nakinga nakunywa haina madhara yeyote...ni maji flani baridi........Wengi ya Wanaume ya wanaibiwa wake zao sababu moja wapo ni kuwa huwa hawaijui hii formula....mwanamke akikutana na mtaalam wa hii kitu lazima atadata kabisa...........nimelala na wanawake wengi watu wazima wameolewa hawajui kabisa habari hii
Hio formula ni ipi tudokeze mkuu uvijuavyo
 
Na kumbuka Kama hajakaa siku nyingi akafuga genye
Hawezi rusha
Kila siku fimbo utarusha nini?
Kutana na demu hajaona dushe mwezi 6 halafu akutane na Fundi mekanika maujuzi tele lazima arushe tu
Bila kugusa GSpot hawezi kurusha.....wengi wenu hamjui hii kitu
 
Kusquit ni kitendo ambacho humtokea m'ke anapogegedwa hasa akiguswa G spot, kinaweza kumtokea m'ke yeyote ila sio kila wakati, ule sio mkojo bali ni shahawa na huwa hawezi kujizuia Kama anavyoweza kuuzuia mkojo!
 
Hahaha nakuona inavyofuatilia kwa ukaribu, endelea kudadisi ila sehemu nzuri ni bafuni msije kuanika magodoro.
Haahaaa....humu ofisin nimekaa nanyegeshwa tu na huu uzi, mara gspot, mara katrero, mara maji yale ni matamu nayanywa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Basi atakuwa amekusoma saikolojia yako akajua nini unampenda akaamua kukuigizia na mkojo wa kawaida

Kikawa huwa na rangi kama maji ya nazi alafu pia hayatoki kwa kasi kama mkojo wa kawaida

Hapana.Huwa nakunywa kila mara...hauna rangi
 
Back
Top Bottom