Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Hao ni wazungu walimtoka maana haijawahi kutokea ktk hisia kaki ukiwa penzin eti utake kukojoa mkojo.
 
Habari zenu wadau. Mtakumbuka nilipost hapa kuwa natarajia kufunga ndoa, nashkuru ndoa imepita salama licha ya kupata michango hafifu sana kutoka kwa marafiki. Nimekutana na kitu ambacho cjawahi kukutana nacho kipindi cha ubachelor, nikiwa nakula tunda la mke wangu baada ya muda anasema anahisi kukojoa na baada ya mda flani kweli anakojoa, tena ananirushia kabisa. Nimeuliza jamaa wanasema kitaalamu inaitwa squirting, cha ajabu cjawai kukutana nayo enzi za ujahili. Sasa hii ni normal thing na ni kwa baadhi ya wanawake tu na je ule ni mkojo au nini hasa?
Kila mwanamke anafanya squirting inaategemea na mwannaume mwenyewe anajua nini kuhusu hiyo kitu
 
Sio wote lakini anaweza kuwa trained akafanya hivyo lakini sio kwa wote na hutofautiana drops zinazotoka wataalam wanasema kuna factors nyingi zinazochangia ,

1 - mwanamke anatakiwa awehuru asiogope.
2 - asiwe na stress na msongo kuna massage special za kumwezesha demu kuwa na uwezo wa
kufikia mshindo.
3 - ukaribu wa mwanamke na mwanaume yani demu ajiachie.

Kuna wanawake ambao waliwai kukojoa mara moja na haijawai kutokea tena japokua wanafurahia tendo na wanapata kufikia kilele.

Kuna wanawake ukitia tu dudu ukisugua haumalizi mapigo kumi kashakojoa tayari kutokana na wao kuwa very sensitive na tendo hilo .

Kama mwanaume usijisikie vibaya kama demu akojoi maana unaweza kuvunja kiuno chako ukakesha kusugua lakini mtu asikojoe ukaona haujui lolote kumbe sio kweli

Kuna wanawake wanafikia mshindo baada ya dakika zaidi ya ishirini akiwa anasuguliwa hivyo ni tofauti kwa kila mwanamke , unaweza kujiona kidume wakati unacheza ligi ya mchangani kuna wanawake unatia mpaka kiuno kina kaza bado anakatika miuno hana hata dalili ya kufikia mshindo kuna wengine ukimchomeka tu kashaanza safari ya kufikia huko so wanaume tuchukulie poa tu.
Kila mwanamke anafanya squirting inaategemea na mwannaume mwenyewe anajua nini kuhusu hiyo kitu
 
Humu majibu utakayopata yatakuchanganya tu, ungemuuliza vizuri huyo aliyekutajia hilo jina la 'Squirting' sie wengine hatuijui hiyo. Au ungekinga kwenye mkono kisha ukachunguze vizuri kama ni maji au mkojo. Ova
Hahaa
 
Unashindwa kugoogle maana ya ku squirt na details kibao ungepata.... kweli kizazi cha kiume kinazidi kupotea siku hadi siku.
 
Kila mwanamke anafanya squirting inaategemea na mwannaume mwenyewe anajua nini kuhusu hiyo kitu
Na kumbuka Kama hajakaa siku nyingi akafuga genye
Hawezi rusha
Kila siku fimbo utarusha nini?
Kutana na demu hajaona dushe mwezi 6 halafu akutane na Fundi mekanika maujuzi tele lazima arushe tu
 
Hio inategemea eneo na chakula, mkoa wa Kagera na Uganda haya mambo ni ya kawaida sana yaani mwanamke asiemwaga maji anakosa raha kabisa, sawa na mzaramo awe na maji anakosa raha hadi aweke shabu inyonye maji ili K iwe mnato.
 
Back
Top Bottom