Huwa najiuliza asingesoma angekuwa wapi?
Halafu itokee ana macho mekundu, huko usukumani sijui kama ange-survive. Just with a light touch fellows, msigune.

Nina hakika hayo aliyoyatamka yametoka moyoni. Fikiria kwa kumkosoa tu Magufuli, Mh. Tundu Lissu alimiminiwa risasi za kumuangusha tembo!

Ne yeye Tulia katimiza analoweza kwa urefu wa kamba yake!
 
Mjinga sn huyo bibi
 
Tatizo kubwa liko kwa hao vijana wanao ambiwa maneno kama hayo na wanashangilia kuonyesha wameridhika na kulipokea kabisa
Ingekuwa hayo hayapokelewi tusingefikaga kwenye jamii kama hii tulonayo sasa
 
Tatizo kubwa liko kwa hao vijana wanao ambiwa maneno kama hayo na wanashangilia kuonyesha wameridhika na kulipokea kabisa
Mkuu umewahi kuona wapi vijana wa ccm wakafikiri au kutafakari kitu?
Wao hawana kuchuja kitu, kila itu kwao ni ndiooooooo na kushangilia!
 
Wakifanya tofauti siwanakosa nafasi uko kwenye uwanja wao
Kwa mtizamo wangu mabadiliko ya wazi tutayaona hawa jamaa wakitoka kwenye system mkuu
 
Rwanda huruhusiwi kisheria hata kuchora katuni ya kumdhihaki kiongozi yeyote wa mihimili yote mitatu bila kujali wa juu au chini

Wanaruhusu kuongea kistaarabu tu hawataki Matusi

Mfano nimekwambia wewe Raisi Bwege pointi gani ya maana nimeongea hapo?

Tulia yuko sahihi tufike mahali tuongee pointi tu sio matusi
Rwanda kule hata Uhuru wa kuabudu wamepokwa
 
Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM.

Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania.

Sijui nataka niseme nini ila pateni kideo hapo.
View attachment 2375676

========

Akihutubia Vijana wa CCM katika Jimbo lake, Mbunge wa Jimbo ya Mbeya Mjini ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka vijana wa Jimbo hilo kutoshiriki katika Kumsema vibaya, Rais na Viongozi wa Jimbo hilo

Amesema, “Isitokee Kijana yeyote anaungana na mtu yeyote anayemsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia ni Rais wa Nchi lakini pia ni mwenyekiti wa Chama chetu. Asitokee mtu yeyote wa Nje ya Chama, wa Ndani ya Chama akawa anamsema vibaya Rais halafu wewe ukamtazama, shughulika naye, CCM hoyeeeee”

Ameendelea, “hata mimi Mbunge wako akiwa ananisema vibaya nyooka naye, unajua sababu ni nini? Hata Diwani, Madiwani wote wa Mbeya Mjini sasa hivi ni CCM, hata akimsema vibaya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, na yeye ni CCM, nyooka naye’
kwasababu ya njaa,kutoelewa athari ya kauli hiyo,au kujipendekeza vijana wanashangilia et lakini hawajuwi wakifanya hayo ndg atakayenyoshwa anandg pia je wataridhika?
 
Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM.

Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania.

Sijui nataka niseme nini ila pateni kideo hapo.
View attachment 2375676

========

Akihutubia Vijana wa CCM katika Jimbo lake, Mbunge wa Jimbo ya Mbeya Mjini ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka vijana wa Jimbo hilo kutoshiriki katika Kumsema vibaya, Rais na Viongozi wa Jimbo hilo

Amesema, “Isitokee Kijana yeyote anaungana na mtu yeyote anayemsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia ni Rais wa Nchi lakini pia ni mwenyekiti wa Chama chetu. Asitokee mtu yeyote wa Nje ya Chama, wa Ndani ya Chama akawa anamsema vibaya Rais halafu wewe ukamtazama, shughulika naye, CCM hoyeeeee”

Ameendelea, “hata mimi Mbunge wako akiwa ananisema vibaya nyooka naye, unajua sababu ni nini? Hata Diwani, Madiwani wote wa Mbeya Mjini sasa hivi ni CCM, hata akimsema vibaya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, na yeye ni CCM, nyooka naye’
Nilikuwa nakuheshimu sasa nimeghairi wewe unaunga mkono uvunjifu wa sheria.
 
Kwamba imebidi Tulia atoke nduki kumkimbiza mdude alosepa na nguo zake?

Chama Cha Mapunduzi kimeamua kuyatumia MAPANGA yalotumika ktk Mapinduzi enzi zileee!

Tulia ametangaza vita kupitia Jeshi la uvcc!!!!
Hakuna kitu kama icho sikiliza mpaka mwisho alichokisema tulia hakumanisha kama watu walivyomanisha
 
Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM.

Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania.

Sijui nataka niseme nini ila pateni kideo hapo.
View attachment 2375676

========

Akihutubia Vijana wa CCM katika Jimbo lake, Mbunge wa Jimbo ya Mbeya Mjini ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka vijana wa Jimbo hilo kutoshiriki katika Kumsema vibaya, Rais na Viongozi wa Jimbo hilo

Amesema, “Isitokee Kijana yeyote anaungana na mtu yeyote anayemsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia ni Rais wa Nchi lakini pia ni mwenyekiti wa Chama chetu. Asitokee mtu yeyote wa Nje ya Chama, wa Ndani ya Chama akawa anamsema vibaya Rais halafu wewe ukamtazama, shughulika naye, CCM hoyeeeee”

Ameendelea, “hata mimi Mbunge wako akiwa ananisema vibaya nyooka naye, unajua sababu ni nini? Hata Diwani, Madiwani wote wa Mbeya Mjini sasa hivi ni CCM, hata akimsema vibaya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, na yeye ni CCM, nyooka naye’
Hii video umeikata mkuu Tulia hakumanisha ivo sikiliza original video
 
Back
Top Bottom