Comrade Kawaida wa CCM anavyomwita Rais Samia 'Mama wa Taifa' siyo sahihi

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Huyu Comrade nadhani yupo CCM Morogoro. Anamwita Rais Samia 'Mama wa Taifa',hii siyo sahihi.
Yaani, Mama wa Taifa kwa maana ipi?

Kwamba Taifa halina Mama wa Taifa na linahitaji Mama wa Taifa,au uupo Mama wa Taifa sasa hivi,na anahitajika kubadilishwa apatikane mwingine.

Halafu huyu Comrade Kawaida nadhani ndie nilimuona kwenye video moja juzi anasema,"Ole wake yeyote atakayemsema vibaya Makonda. Ole wake atakayemsema vibaya Jokate( hata sijui Jokate ni nani).

Halafu akamtaja mtu mwingine wa tatu ambaye hataki asemwe. Alikuwa nani sijui,nimesahau. Lakini nadhani haikuwa Rais Samia,kwa sababu comment iliyofuatia pale ilikuwa " mbona huyu amewataja hawa wasisemwe vibaya watu hawa ambao siyo viongozi wa juu wa Chama,ina maana anajiona wa maana kuliko viongozi wake wa Chama?"

Anasema "mtu akimsema vibaya Makonda,nitazaa naye" "Mtu akimsema vibaya Jokate,nitazaa naye."

Sasa hii "nitazaa naye" ina maana gani? Haina maana yoyote. Kama hajui Kiswahili bora awaulize BAKITA wamshauri ama sivyo atazungumza maneno,atatukana watu wengi.

Atazaa naye! Mungu wangi! Hii haina maana yoyote isipokuwa kuonyesha kwamba huyu alikuwa anafikiria zinaa kwa muda mrefu,na kwamba labda huyu siyo Mroma Katoliki.

Kwa kifupi,huyu Rais Samia siyo Mama wa Taifa. Huyu Rais Samia nadhani anayo mambo mengi ya kumfariji, labda anayo Bank Account kubwa kumfariji. Wewe,unataka kumletea vitu superflous ambavyo hahitaji.
We will not argue about this. Wewe mwite rais vyovyote unavyopenda.

Kusema utazaa na watu,as if amani ya nchi hii inavurugika Comrade Kawaida akiamua.

Comrade Kawaida anataka kufanya mambo ambayo siyo ya kawaida.
 
Wazanzibar hawajui siasa. Wanajua urojo tu.

Atazaa na nani wakati yeye ni punga
 
Huyu Comrade nadhani yupo CCM Morogoro. Anamwita Rais Samia 'Mama wa Taifa',hii siyo sahihi.
Yaani,Mama wa Taifa kwa maana ipi?
Kwamba Taifa halina Mama wa Taifa na linahitaji Mama wa Taifa,au uupo Mama wa Taifa sasa hivi,na anahitajika kubadilishwa apatikane mwingine.
Halafu huyu Comrade Kawaida nadhani ndie nilimuona kwenye video moja juzi anasema,"Ole wake yeyote atakayemsema vibaya Makonda. Ole wake atakayemsema vibaya Jokate( hata sijui Jokate ni nani). Halafu akamtaja mtu mwingine wa tatu ambaye hataki asemwe. Alikuwa nani sijui,nimesahau. Lakini nadhani haikuwa Rais Samia,kwa sababu comment iliyofuatia pale ilikuwa " mbona huyu amewataja hawa wasisemwe vibaya watu hawa ambao siyo viongozi wa juu wa Chama,ina maana anajiona wa maana kuliko viongozi wake wa Chama?"
Anasema "mtu akimsema vibaya Makonda,nitazaa naye" "Mtu akimsema vibaya Jokate,nitazaa naye."
Sasa hii "nitazaa naye" ina maana gani? Haina maana yoyote. Kama hajui Kiswahili bora awaulize BAKITA wamshauri ama sivyo atazungumza maneno,atatukana watu wengi.
Atazaa naye! Mungu wangi! Hii haina maana yoyote isipokuwa kuonyesha kwamba huyu alikuwa anafikiria zinaa kwa muda mrefu,na kwamba labda huyu siyo Mroma Katoliki.
Kwa kifupi,huyu Rais Samia siyo Mama wa Taifa. Huyu Rais Samia nadhani anayo mambo mengi ya kumfariji,labda anayo Bank Account kubwa kumfariji. Wewe,unataka kumletea vitu superflous ambavyo hahitaji.
We will not argue about this. Wewe mwite rais vyovyote unavyopenda.
Kusema utazaa na watu,as if amani ya nchi hii inavurugika Comrade Kawaida akiamua.
Comrade Kawaida anataka kufanya mambo ambayo siyo ya kawaida.
Kawaida ni wa kawaida Sana asikupe shida Huyo mke wa Mtu.
 
Pride comes before a fall. Maringo hayampendezi,hayamstahili, Mwafrika.
Maringo yanaadhibiwa vikali Afrika kuliko sehemu nyingine yoyote duniani.
Ati wanataka kumpora bibi yetu cheo chake na wakati bado yupo hai haaataa!
Usikubali mtoto wa marehemu.
 
Back
Top Bottom