Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job Ndugai amesema Wabunge waliofukuzwa Chadema wapo salama

Mheshimiwa Ndugai ameomba Wabunge hao 19 wasiwe na hofu yeyote na waendelee kuchapa kazi ili kuijenga nchi yao.

MCL
Yanii watu wanakosa hata akili na logic ya kawaida CCM wameharibu siasa za Tanzania, tuangalie katiba inasemaje kuhusu wanachama walio fukuzwa chamani.......... hapa ndo kipimo sahihi kuona msimamo wa Raisi wetu Mama kuhusu ujinga kama huu. unadhalirisha nchi nzima sio bunge peke
 
Yanii watu wanakosa hata akili na logic ya kawaida CCM ameharibu siasa za Tanzania tuangalie katiba inasemaje kuhusu wanachama walio fukuzwa chamani.......... hapa ndo kipimo sahihi kuona msimamo wa Raisi wetu mama kuhusu ujinga kama huo unadhalirisha nchi nzima sio bunge peke
Tuna mifumo ya hovyo sana, Ndugai alitakiwa kushitakiwa kwa kosa la uhani kabisa
 
Nape zamu hii lazima avuliwe uanachama wa ccm, apoteze na hako kaubunge kake, akaungane na wenzake chadema. He is too much. Zamu ile aliomba samahani na akasamehewa (kwa mazungumuzo yake kwenye simu yaliyodukuliwa, wakimsema vibaya aliyekuwa rais wa JMT wakipanga mipango mibaya dhidi ya serikali). Avuliwe uanachama wake wa ccm na tuone kama atang'ang'ania huo ubunge.
Juzi tulimwona akiwa na akina Lissu kwenye zoom wakiisema vibaya serikali ya awamu ya 6 chini ya mama yetu SSH!
Ataanza kuondoka Ndugai kwenye hicho kiti
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura?
 
Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali.

Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza mwelekeo akaanza kwa kujisifu kuwa yeye ni mzoefu, hivyo asipangiwe cha kufanya.

Ameenda mbali zaidi kwa kutaka kuonesha kuwa akina mama hao 19 wanaonewa na mfumo dume uliopo CHADEMA. Ndugai anasahau yeye na Profesa Lipumba walichowafanyia akina mama wa CUF walipovuliwa ubunge kwa kimemo cha Lipumba.

Mzee Ndugai atabaki katika historia kama SPIKA DHAIFU kuwahi kutokea. Tunazitaka Mamlaka za kulinda Katiba kuhakikisha KATIBA inalindwa.

Ikiwezekana kila NDUGAI atakapoonekana hadharani azomewe kwa aibu anayoiletea Taifa.
Nina hakika hapati usingizi kwa moyo wake kumsuta kwa unafiki!
 
Tulishazungumza kuhusu ndugu zetu “WAGOGO” kuwa huenda genetically kuna kipengele katika brain zao na namna ya kufikiri!
Mkuu, kumbuka Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, Dr John Samwel Malecela, Lusinde Kibajaji, wasanii na wanamuziki kama marehemu Patrick Balisidya na hata marehemu Dr/Prof. Hugo Zawose na wengine kibao wote walikua ni Wagogo. Je na hao pia wanaingia katika fungu hilohilo ulilosema?
 
Mkuu, kumbuka Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, Dr John Samwel Malecela, Lusinde Kibajaji, wasanii na wanamuziki kama marehemu Patrick Balisidya na hata marehemu Dr/Prof. Hugo Zawose na wengine kibao wote walikua ni Wagogo. Je na hao pia wanaingia katika fungu hilohilo ulilosema?
Hii inawahusu wagogo wote waliotrend katika zama za Jiwe 😂😂😂
 
Tulishazungumza kuhusu ndugu zetu “WAGOGO” kuwa huenda genetically kuna kipengele katika brain zao na namna ya kufikiri!
Kwanini tusiandamane kama wananchi kushinikiza kuondolewa huu uhuni??
yaani mashabiki wa manchester wanatushinda wanaandamana kumtoa GLAZER ambaye ndiye mmiliki sisi tunamshindwa ndugai? malalamiko ya mtandaoni yanasaidia kweli?
 
Tuna katiba mbovu ambayo inampa rais kufanya atakalo, na ndiye pekee mwenye nguvu ya kuamua nini kitekelezwe kwenye katiba. Uwepo wa hao wabunge wa cdm yalikuwa maagizo ya Magufuli, na sasa mama Samia anaogopa kuagiza katiba ifuatwe kwani bado yuko kwenye kivuli cha Magufuli. Lakini hata hivyo tunategemea kweli katiba itekelezwe wakati hata uchaguzi wenyewe ulinajisiwa? Vyombo vya ulinzi na usalama ni taasisi zinazoshiriki Moja kwa moja kwenye uvunjifu wa katiba kutokana muundo ama ubovu wa katiba yenyewe.
Hopefully akikutana na Chadema mama atalitolea kauli ya kuwafukuza, to be specific.....
 
Back
Top Bottom