Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

kwanini tusiandamane kama wananchi kushinikiza kuondolewa huu uhuni??
yaani mashabiki wa manchester wanatushinda wanaandamana kumtoa GLAZER ambaye ndiye mmiliki sisi tunamshindwa ndugai? malalamiko ya mtandaoni yanasaidia kweli?
Mazingira ya kwandamana sio rafiki, paka kuepo watu wanao heshimu haki za binadamu katiba ya nchi na wanao heshimu matakua ya wana nchi..........ndo uandamana lasivyo hao ma police ccm watakuumuza bure nakufungwa wakukutetea hamna.
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
heee ona hili

sijui umechanganyikiwa!
haya yametokea wapi tena thread inazungumzia wabunge wa anduje.
 
Hahahaha Bavicha kazi kweli kweli. Maneno ya kebehi ya mitandaoni na hapa JF hayawezi kuwaondoa wabunge 19 Bungeni, chukueni hatua zaidi.
 
Mkuu, kumbuka Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, Dr John Samwel Malecela, Lusinde Kibajaji, wasanii na wanamuziki kama marehemu Patrick Balisidya na hata marehemu Dr/Prof. Hugo Zawose na wengine kibao wote walikua ni Wagogo. Je na hao pia wanaingia katika fungu hilohilo ulilosema?
Katika list yako hii ni Balisdya na Zawose tu ndiyo hawastahili kuwemo the rest ndiyo kama alivyosema jamaa.
 
Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali.

Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza mwelekeo akaanza kwa kujisifu kuwa yeye ni mzoefu, hivyo asipangiwe cha kufanya.

Ameenda mbali zaidi kwa kutaka kuonesha kuwa akina mama hao 19 wanaonewa na mfumo dume uliopo CHADEMA. Ndugai anasahau yeye na Profesa Lipumba walichowafanyia akina mama wa CUF walipovuliwa ubunge kwa kimemo cha Lipumba.

Mzee Ndugai atabaki katika historia kama SPIKA DHAIFU kuwahi kutokea. Tunazitaka Mamlaka za kulinda Katiba kuhakikisha KATIBA inalindwa.

Ikiwezekana kila NDUGAI atakapoonekana hadharani azomewe kwa aibu anayoiletea Taifa.
Mh Ndugai ,utaburuzwa mahakamani KWA kesi ya kikatiba shauri yako Kuna leo na kesho mh, hachana nao hao mkuu
 
Nape zamu hii lazima avuliwe uanachama wa ccm, apoteze na hako kaubunge kake, akaungane na wenzake chadema. He is too much. Zamu ile aliomba samahani na akasamehewa (kwa mazungumuzo yake kwenye simu yaliyodukuliwa, wakimsema vibaya aliyekuwa rais wa JMT wakipanga mipango mibaya dhidi ya serikali). Avuliwe uanachama wake wa ccm na tuone kama atang'ang'ania huo ubunge.
Juzi tulimwona akiwa na akina Lissu kwenye zoom wakiisema vibaya serikali ya awamu ya 6 chini ya mama yetu SSH!
Kwahiyo kuwa mwanachama mtiifu wa CCM NI kusupport kila UJINGA?AISEE
 
Yaani Chedema mnamihemko ya ajabu sana huu inaonyesha kabisa mataahira wapo wengi chadema wivu tu umewajaa sasa kinachowashinda kwenda mahakamani ni nini sasa na kama watummewavua uanachama si muweke wa kwenu mnasubiri nini ? Kuna jambo haliko sawa huko mnazungukana tu.
 
Back
Top Bottom