Sasa mbona walikwiba Kura zao?Hilo wazo lilishawahi kutolewa na mama Lyimo wa Chadema!
Lazima amedesa kwa mtu, haiwezekani ikawa wazo lakeNimependa mapendekezo ya Spika leo.
Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE.
Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia.
Ameyasema haya kwenye kilele cha mashindano ya sayansi, teknolojia na ubunifu.
Kila la kheri wabunge wetu. Tumieni hati ya dharula kutekeleza jambo hili
Lakini msisahau kuwa ufanisi wa mawazo haya utahitaji Bodi hii kupewa uwezo wa kufanya harambee duniani kote ili kutunisha mfuko wake.
Spika Ni makini haijawahi tokea
Nimependa mapendekezo ya Spika leo.