Anaitwa Kalunguyeye kwa Kiswahili, Shilungumihwa kwa kisukuma ("mihwa" maana yake miiba), Hedgehog kwa kiingereza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usirudie tena utaniudhi aisee😡😡
Yeah, traditional healers are in a better position to explain thisKumbe miba ni dawa?? ila si hadi upate mtaalamu??
Kule uchagani pande za marangu mamba tunakiita kifyafiri kitu kama hicho vinapenda sana kujificha jikoni au kwenye maboma ya mifugo,[emoji15][emoji15][emoji15]
Hana sumu yoyote unatoa utumbo tu vimaini vyenyewe sijui nyongo vidunchu vyote mixer pwaniUkimpasua tumboni unatoa nini na nini Hana sumu?
We jamaa muoga sana unatishwa na haka kapanya? Aliyelia sio huyu atakuwa mnyama mwingine
Hahahaha dah umenivunja mbavu.
Ilikuwa usiku wa saa sita alafu kijijini hakuna hata mwenye taa/tochi alafu ni mbali na home wee unafanya masihara nini
amekiambia Meko anaendelea mpaka 2045.Mbona kina mawazo sana umekiambia utakifanya mboga jioni?