Species ndogo ya Nungunungu

Species ndogo ya Nungunungu

Aisee...sasa kwanini pamoja na ubabe wake simba wote lakini akikutana tu na huyo nyegere ni lazima asarende?

Wakati mwingine wawezakuta simba hata wa4 wakiwa na njaa sana lakini akipita huyo nyegere mmoja pekee husanuka?

Hawataki kumla afu ngozi yake ngumuuuu mnoo [emoji23][emoji23]
 
Kajamaa hakataki kugoogle kanatuagiza tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kalimuona kwenye video za wanyama zilizotafsiriwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kalimuona kwenye video za wanyama zilizotafsiriwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile inayowekwa kwenye mabasi siku moja nimesafiri ikawekwa iliyotafasiliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile inayowekwa kwenye mabasi siku moja nimesafiri ikawekwa iliyotafasiliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Naam wakati anakuja mjini[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mtakuja kushika na mavitu ya walozi...teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nimezaliwa na kukulia kijijini nawajua wanyama kinouma
 
Back
Top Bottom