Species ndogo ya Nungunungu

Species ndogo ya Nungunungu

Hivi yule mnyama flani hivi afananaye kama mmbwa mwitu anayeogopwa sana na simba huitwaje?

Huwa anakula nnge, nyoka, bui bui n.k.
 
Kumbe anaitwa hivyo? Embu mtupie picha yake hapa kwanza ili nijiridhishe kama ni yeye au siyo yeye
Huyo hapo pimbi wewe[emoji3062][emoji34]
Screenshot_20191019-115150~2.jpeg

Ni mbabe hatari akivimba njiani mkuki hauingii mwilini yaani we sepa kama bodaboda
 
Huyo hapo pimbi wewe[emoji3062][emoji34]View attachment 1237906
Ni mbabe hatari akivimba njiani mkuki hauingii mwilini yaani we sepa kama bodaboda
Aisee...sasa kwanini pamoja na ubabe wake simba wote lakini akikutana tu na huyo nyegere ni lazima asarende?

Wakati mwingine wawezakuta simba hata wa4 wakiwa na njaa sana lakini akipita huyo nyegere mmoja pekee husanuka?
 
Hako jamaa kamejaliwa ngozi ngumu saaaama nakuambia zamani z ukimkuta njiani unabadilisha maana ni mbabe hatari na huwezi kumuua hadi umvize rungu la kichwa na umpige kisawasawa
 
Back
Top Bottom