sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,237
- 8,999
Nyara za serikali ziko mbugani, ipo siku utasema panya, popo nao ni nyara za serikaliNyara ya serikali be careful mkuu!
Nyara za serikali ziko mbugani, ipo siku utasema panya, popo nao ni nyara za serikaliNyara ya serikali be careful mkuu!
kwa hiyo popo sio nyara za serikali?wala ndege?Nyara za serikali ziko mbugani, ipo siku utasema panya, popo nao ni nyara za serikali
Jua maana ya nyara za serikali kwanza ndipo tuendeleekwa hiyo popo sio nyara za serikali?wala ndege?
Ni kweli siwapangi[emoji38][emoji38][emoji38] unatupanga au a.k.a??
We jamaa ni mkazi wa kaskazini bila shaka,Mana ilo jina hutumika ukanda huoJina lingine tunakiita kidungu maria