Species ndogo ya Nungunungu

Species ndogo ya Nungunungu

Hicho wakati mwingine kama ni usiku sana huwa kina mikwara kuna siku tunatoka kuangalia mpira kwenye tv usiku nikiwa kijijini basi ile tunarudi tukakutana nacho barabarani kikatoa mlio kama fulani kama stop engine ya fuso inavyolia aseee sitosahau siku hiyo nilienda kulala kwa rafiki yangu maana wale ndugu zangu wengine wao waliniacha kwa mbio ikabidi nimng'ang'anie rafiki yangu hadi kwao
We jamaa muoga sana unatishwa na haka kapanya? Aliyelia sio huyu atakuwa mnyama mwingine
 
Hahahaaaa nilitaka kusema kama sio chaka la Buly wewe......nimekumbuka siku moja tulivokula chatu

vitamu balaa hivyo vidudu..........
Duh chatu!! Huko mgodini naona hadi chura wanaliwa.
 
Hicho wakati mwingine kama ni usiku sana huwa kina mikwara kuna siku tunatoka kuangalia mpira kwenye tv usiku nikiwa kijijini basi ile tunarudi tukakutana nacho barabarani kikatoa mlio kama fulani kama stop engine ya fuso inavyolia aseee sitosahau siku hiyo nilienda kulala kwa rafiki yangu maana wale ndugu zangu wengine wao waliniacha kwa mbio ikabidi nimng'ang'anie rafiki yangu hadi kwao
Hahahaha dah umenivunja mbavu.
 
Kipindi fulani cha nyuma sana vilikuwapo maeneo ya home nikawa navipa mabaki madogo madogo ya chakula na wadudu , walinizoea sana ;walinifuata nyuma. Siku moja mmoja alizaa vitoto vidogo kweli hata manyoya hakuna.
 
Nyie Jamaa Mna dhambi sana
Mnapata wapi ujasiri WA kumchinja na kumpika karungu yeye?
Hahahaaaa nilitaka kusema kama sio chaka la Buly wewe......nimekumbuka siku moja tulivokula chatu

vitamu balaa hivyo vidudu..........
 
Daaa ..bwana weee nimekajua leo jina, kanapenda Sana Giza na Mabaki ya chakula..
 
Duh saafi sana mkuu
Kipindi fulani cha nyuma sana vilikuwapo maeneo ya home nikawa navipa mabaki madogo madogo ya chakula na wadudu , walinizoea sana ;walinifuata nyuma. Siku moja mmoja alizaa vitoto vidogo kweli hata manyoya hakuna.
 
Nungunungu,, ulivyompata umempeleka wapi asije akawa kwenu ni kitoweo!!!!
 
Kwa Kihehe anaitwa Kinyenyefule. Wanaliwa, ila waharibifu sana wa mahindi yanayoota shambani. Pia nasikia miiba yake hiyo huwa inatumika kutibu akina mama ambao wanapata shida ya kunyonyesha watoto
 
Back
Top Bottom