"Zinaa" ni kiumbe hai (living-organism)

"Zinaa" ni kiumbe hai (living-organism)

mtu-roho

Member
Joined
Jun 16, 2026
Posts
16
Reaction score
21
Kinapatikana wapi ?

1. Wakati unapojiandaa kimawazo (me / ke ) hapo unakuwa umeandaa "raw material" malighafi

2. Unapopiga hatua kwenda kwenye miadi -unachakata malighafi.

3.Mnapoanza kushiriki tendo - mnaanza kutengeneza kiumbe

4. Mnapomaliza kuzini -Tayari uumbaji umekamilika (kiumbe-kamili.

5. Mara tu Mnapo achanishana "vikojoleo" kinatoka pembeni yenu (NJE) Huku kikiwa kimefyonza "energy" zenu na kuwaachia uchafu (balaa,nuksi na mkosi)

Umbile la kiumbe "zinaa" ni kama vile unavyomuona nungunungu kote amezungukwa na miba mikali yenye sumu.

USHAURI;

Acheni kutengeneza kiumbe hicho duniani kwani Kwa sasa , kimesha tengenezwa 37% kote duniani.

Kwani chakula chao ni ubongo wa binadamu -ndio maana utakuta mtu- hakuna analowaza zaidi ya ngono tena zembe.

Hatari na nusu !!!

Home -work

Kwa nini mume na mke halali hawawezi kuteneneza/kuzalisha hicho kiumbe !?
 
Umesema mnapofanya zinaa mnatengeneza kiumbe, mkimaliza tuu tayari kiumbe kimekamilika, kinafyonza energy na kuwaachia nuksi mabalaa na mikosi

Sasa kama hiki kiumbe kinatengenezwa wakati wa zinaa tafsiri yake ni kwamba hizi nuksi balaa na mikosi ziko kwa watu hata kabla hawajafanya zinaa... unanielewa?
 
Back
Top Bottom