Species ndogo ya Nungunungu

Species ndogo ya Nungunungu

Hedgehog kwa kiswahili Karungu yeye
I miss those day naangalia katuni za Sonic the Hedgehog kwenye KidCo chanel
 
Hako katamu Sana nilikala mgodini bulyanhulu aiseee kazuri Sana hako
Hahahaaaa nilitaka kusema kama sio chaka la Buly wewe......nimekumbuka siku moja tulivokula chatu

vitamu balaa hivyo vidudu..........
 
Hakuna sio njaaa Basi tu nilikuwa na wanaigeria tukatesti mitambo aiseee ila anasisimua mwili balaaaa aiseee yaani ukipata supu yake pweza akae mbali
Duh sipati picha mlivopata tabu kukachuna
 
Hicho wakati mwingine kama ni usiku sana huwa kina mikwara kuna siku tunatoka kuangalia mpira kwenye tv usiku nikiwa kijijini basi ile tunarudi tukakutana nacho barabarani kikatoa mlio kama fulani kama stop engine ya fuso inavyolia aseee sitosahau siku hiyo nilienda kulala kwa rafiki yangu maana wale ndugu zangu wengine wao waliniacha kwa mbio ikabidi nimng'ang'anie rafiki yangu hadi kwao
 
Back
Top Bottom