Kumbe miba ni dawa?? ila si hadi upate mtaalamu??Kwa Kihehe anaitwa Kinyenyefule. Wanaliwa, ila waharibifu sana wa mahindi yanayoota shambani. Pia nasikia miiba yake hiyo huwa inatumika kutibu akina mama ambao wanapata shida ya kunyonyesha watoto
Kiduku Lilo mdogo ako huyu hapa
Hako katamu Sana nilikala mgodini bulyanhulu aiseee kazuri Sana hako
Nyie Jamaa Mna dhambi sana
Mnapata wapi ujasiri WA kumchinja na kumpika karungu yeye?
Mkuu katamu hako wew hujui tuUlikula nungunungu hako hata nyama hakana
Safi sana mkuu...hata mm ninayo Sana hyo tabia toka utotoniKipindi fulani cha nyuma sana vilikuwapo maeneo ya home nikawa navipa mabaki madogo madogo ya chakula na wadudu , walinizoea sana ;walinifuata nyuma. Siku moja mmoja alizaa vitoto vidogo kweli hata manyoya hakuna.
Sasa una mtengeneza vipi?Hahaaaa kana nyama tamu kama ya kuku sijui samaki hivi[emoji16][emoji16]
Unamchuna unavua ngoz yote kama soksiSasa una mtengeneza vipi?
Ukimpasua tumboni unatoa nini na nini Hana sumu?Unamchuna unavua ngoz yote kama soksi
Napenda sana wanyama huwa najisikia faraja sana wanapokuwa huru hata mbele yangu.Safi sana mkuu...hata mm ninayo Sana hyo tabia toka utotoni
[emoji1787][emoji1787]Naona unamuonea Mdogo angu
Aisee sikujua, nilivyokaona tu nikaa nako mbali kabisa [emoji1][emoji1]hakirushi miba bhana achaga uoga