Hata mimi namjua kwa jina hiloKarunguyeye
Karunguyeee Ni mtamu na anamafuta meng Sana na Ni damu ya kuvuta snuti ngawila[emoji1702][emoji1702][emoji1702][emoji1702][emoji1702]
Hako katamu Sana nilikala mgodini bulyanhulu aiseee kazuri Sana hako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa bhana kadogo hivi??
Inachoma humshiki kwa nguvu ni kama unampetipeti