Nimemtongoza kaamua kuniblock WhatsApp

Nimemtongoza kaamua kuniblock WhatsApp

chamaclotus

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,164
Reaction score
2,390
Hello members,
Kuna huyu msichana nimekutana nae somewhere. Tumekuwa tukiwasiliana juu ya masuala mbali mbali ila nikaja kugundua anafaa kuwa mke. Ikabidi nianze kuomba appointment ila sikufanikiwa so nikamweleza kupitia WhatsApp jinsi ninavyompenda. Msichana kanambia tuzungumzie mambo mengine sio mapenzi. Sasa juzi nikamtumia meseji ya kumtakia wakati mwema kuniblock WhatsApp.
Dah imeniuma sana
 
Subiri zamu yako mkuu hapo umewekwa pending akizinguana na jamaa yake atakucheki
 
Mfanyie surprise........
FB_IMG_1789678568449.jpg

Sitakufundisha kila kitu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom