mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,049
- 3,380
Madalali wengi bongo wanafanya kazi kienyeji hakuna valuations za uhakika na sahihi yaani eti kwasababu nyumba ina rangirangi,marumaru au gypsums wao wanalopoka tu bei bila kuangalia factors zingine za kupanga bei pia inachangiwa na tamaa za dalali na mwenye nyumba.Hoja nzuri sana hiyo. Maeneo mengi ya Tabata viwanja ni high density. Yaani kuanzia sqm400(20*20) hadi sqm600(30*20). Utakuta nyumba ikisha simama basi kunakua hakuna eneo kubwa la wazi lililobakia kwa ajili ya shughuli nyingine
Finishing ya nyumba kwenye picha inaonekana iko sawa lakini kuna factors nyingine kama location na neighborhood (kama ni decent au la) n.k ni vitu muhimu kuangalia katika kupanga bei
Kumbuka mnunuzi ataanza kupiga hesabu ya 155m, je akinunua kiwanja kikubwa mahali na anze kujenga nyumba ya ndoto yake against kununua nyumba ipi itakua na advantage kwake na kw namna gani
Kibongobongo naona Real Estate Agents wengi wanfanya biashara ya property hasa real estate kama biashara ya kimachinga. Hawaweki bei kiuhalisia. Wanafanya kama wauza nguo au viatu barabarani. Anakuanzia bei ya kitu elfu 30 mwishoe anakuuzia kwa buku 5
Tena afadhali madalali wa magari maaana angalau magari yana bei zinazojulikana range yake kutegemea na aina, mwaka iliyotengenezwa, rangi, muonekano na uharaka wa muuzaji
Kwa maoni yangu muuzaji angeweka wazi Zaidi vitu ulivyomuuliza
Imekaa katika hali ya kutisha, tishaHii nyumba kila siku inapostiwa ni kwanini haiuziki?
Empty Set sana wewe!! Hujui hata unaandika kitu gani...Ulikuwa unataka majambazi waiibe nyumbe waing'oe na kuondoka nayo? Soma kwanza ndio ujibu sio unakurupuka.Unaona sasa madhara ya kusoma bila kuelewa? Umesoma alichoandika lakini hujaelewa kabisa, hili ni tatizo kubwa kwa watz walio weng. Amekwambia kuibiwa akiwa ameshanunua nankuhamia kwenye hiyo nyumba, ila wakati anarudi nyumbani kwake ndio anaweza vamiwa akaibiwa 2m huku akiacha nyumba ya 155m
Hiyo sio hoja yangu, hoja yangu ni hiyo bei ya mil.155 kuwa ya kutupa, ilihali ni mwaka sasa na haijapata mteja,hivyo ni uongo. kama unabisha bisha kwa hoja.hoja ni kwamba unataka nyumba ya milioni 10
Sawa, tufanye wanaiba milioni 2 halafu millioni 155 wanaiacha wakati anaenda kulipa, maana watamuonea huruma kuchukua zote, hivyo alipe tu kupitia online.Empty Set sana wewe!! Hujui hata unaandika kitu gani...Ulikuwa unataka majambazi waiibe nyumbe waing'oe na kuondoka nayo? Soma kwanza ndio ujibu sio unakurupuka.
Muombe Mungu akupe ulinziUmaskini tu ni shida na usalama.
Unaweza chukua mjengo huo fresh tu wale ******* wa boxer wakakuwai njiani au getini ukamalizwa uache mil 155 huku nyuma wao wanakuibia mil 2 tu viroboto hao siwapendi kishenzi.
ujenzi wa nyumba gharama kiwanja tuHahaha, hiyo ukianza kuijenga inaweza isifike hata 60M, sema wazee wa 10% wapo kazini.
Sawa, tufanye wanaiba milioni 2 halafu millioni 155 wanaiacha wakati anaenda kulipa, maana watamuonea huruma kuchukua zote, hivyo alipe tu kupitia online.
ujenzi wa nyumba gharama kiwanja tu
Acha ubishi, alichosema ni kuibiwa pesa milioni 2 wakati anarudi kwenye nyumba yake aliyoinunua kwa million 155, hiyo milioni 2 sio kwamba anaenda kununua chochote, elewa hilo kwanzaNdio madhara ya kusoma shule za vodafasta na kufundishwa na walimu wa tigo extreme!! Hoja yangu kwanini unafanya transaction by cash? Jibu langu sijazungumzia wizi wa bodaboda au ujambazi ,nimesema transaction kama hizo zinafanywa online.
Acha ubishi, alichosema ni kuibiwa pesa milioni 2 wakati anarudi kwenye nyumba yake aliyoinunua kwa million 155, hiyo milioni 2 sio kwamba anaenda kununua chochote, elewa hilo kwanza
Hapo keshanunua pengine hata mwaka umepita, sasa siku moja wapo wakati anarudi ndio ana hicho kiasi cha 2m probably kwenye gari, wanam-tight getini wanamuibia 2m na kumtoa uhai huku akiacha mjumba huo wa wa 155m na wao wanaiba hiyo 2m, mbona maelezo yake yalikua very clearWakati anaenda kununua alikuwa na milioni 2 au 157?
Hapo keshanunua pengine hata mwaka umepita, sasa siku moja wapo wakati anarudi ndio ana hicho kiasi cha 2m probably kwenye gari, wanam-tight getini wanamuibia 2m na kumtoa uhai huku akiacha mjumba huo wa wa 155m na wao wanaiba hiyo 2m, mbona maelezo yake yalikua very clear
Hawajakosea, ila shida ni wewe kusema malipo yafanyike online kana kwamba hiyo milioni mbili kuna malipo anataka kufanya kwa cash badala ya online., au kana kwamba hiyo nyumba ndio anaenda kuilipia halafu getini ndio akaporwa. See the logic?Kwa wewe jinsi ulivyoelewa ,kila mtu ana uelewa wake!! Maelezo yake hayapo kama wewe ulivyoeleza! Kwani jambazi anaweza akapora nyumba na kuondoka nayo? Kwa maelezo yako ni kwamba majambazi wamekosea kupora milioni 2 na kuacha kupora nyumba ya mil 155, Jambazi yeye ni pesa tu na mali ambayo ni movable.(Hijack)
Mkuu haya matusi [emoji848][emoji848][emoji848] duh! Unatisha mzeeSawa ushanunua mjengo baada ya mwaka unapigwa tanchi wanakudedisha hapo getini au njiani .si usenge tu,
Huwezi kujitoa kununua hilo bungalow alafu ufe kifala.
Sijawai kusikia kuna tajiri aliyewekwa kati na hawa ******* na viboxer vyao wakawatawanya.
Wanaishia kusurrender tu wanaibiwa.
Toka ndani ya gari kwa timming na mashine unapiga shambulio la kushtukiza,chapa risasi za kiuno miguu mabega za kutosha.ukiwaweka chini unawasachi kwanza kisha unaita polisi.