Natoa connection kwa Bei nafuu
nimependa jinsi ulivyoona na kuchangamkia fursa lakini mkuu haya mambo ya udalali hatuyapendi sana katika huu uzi. hapa tunafurahisha macho na tunaishi kindugu, kama connection zipo zinatolewa bure .

ikishindikana basi tu bro kaa nazo. mimi nimetoa connection na nimepewa pia na hakuna malipo yaliyofanyika. hii ndo system iliyopo katika uzi huu.
 
haahahahahahh
 
na ukishika kiuno vidole gumba unavizungusha zungusha hapo kwenye vidimpoz 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…