Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Anasubiri game ya stars, tupigwe mkono ndipo aweke.
Jana aliweka kwa muda mchache ikadondoka. Ilikaa dakika 5 au 6 tu.
Huyu Cookie atakuwa amesahau vitu vingi sana.

Tokea jukwaa letu lipigwe pin, mambo yamekuwa mengi, na hata Moderator hataki kuingilia kati kabisa yani!!
 
1000458625.jpg

Game za Leo.
Za Moto kabisa yani!!
 
Back
Top Bottom